Luis Suarez - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Luis Suarez Avunja Ukimya

Daily News

Mshambuliaji nyota wa klabu ya Atletico Madrid Luis Suarez amevunja ukimya baada ya kuhusishwa na kuhamia kwenye klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza lakini siku ya jana …

Gerrard Kumleta Luis Suarez Villa Park?

Football

Mambo yanakwenda kasi sana. Uwepo wa Steven Gerrard kule Villa Park ni kama kani ya uvutano wa sumaku. Wachezaji nyota wanavutiwa na Aston Villa. Inasadikika kuwa, Luis Suarez anatazamia kuungana …

Luis Suarez Avunja Rekodi ya CR7.

Daily News

Hakika nyota imemuwakia Luis Suarez msimu huu. Baada ya Barcelona kumtema, mshambuliaji huyu amekwenda kuwa lulu na kipenzi cha mashabiki wa Atletico Madrid. Suarez amekuwa mchezaji wa muhimu kwenye kikosi …

Luis Suarez Kutimba Juventus

Champions League

Nyota wa Barcelona Luis Suarez mbioni kutimkia kwa mabingwa wa Italia – Juventus. Suareza anatarajia kutemana na Barcelona na kuondoka kama mchezaji huru ikiwa atafanikiwa kufanya makubaliano na Barcelona ili …

Suarez Ataka Majibu Kutoka kwa Koeman

Daily News

Mchezaji wa Atletico MadridΒ  Luis Suarez anataka aliyekuwa kocha wa zamani Ronald Koeman amwambieΒ  kwanini alimuondoa katika klabu yake ya Barcelona miaka miwili iliyopita.   Suarez alijiunga na wapinzani wao …

1 2 3 4 6 7 8