Madrid Open - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Madrid Open: Zverev Amtoa Rafael Nadal.

Tennis

Kwa mara ya kwanza, Rafael Nadal anapoteza mchezo kwenye uwanja wa tope baada ya kuambulia kipigo kutoka kwa Rafael Zverev kunako Madrid Open 2021. Zverev alikuwa akichuana na Nadal katika …

Madrid Open: Barty Afuzu Fainali 2021.

Tennis

Bingwa namba 1 kwa ubora duniani (kwa wanawake), Ashleigh Barty, amefuzu hatua ya fainali kunako mashindano ya Madrid Open 2021. Barty amefanikiwa kutua hatua ya fainali baada ya kumfunga Paula …

Novak Djokovic Kuikosa Madrid Open 2021.

Tennis

Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (mchezo wa tenesi kwa wanaume), Novak Djokovic, hatotetea ubingwa wake wa Madrid Open baada ya kujitoa kwenye mashindano ya mwaka huu. Djokovic ameomba radhi …

Rafael Nadal:Akiri Kushindwa Us Open.

News

Rafael Nadal gwiji wa mchezo wa tenesi duniani na mwanatenesi anayeongoza kwa mataji makubwa ya tenesi maarufu kama Grand Slams amekubali kua alizidiwa kwenye michuano ya wazi ya Marekani. Gwiji …

Rudiger Athibitisha Kuhamia Real Madrid!

Daily News

Antonio Rudiger amethibitisha kwamba atajiunga na Real Madrid mkataba wake na Chelsea utakapomalizika mwishoni mwa mwezi huu. “Ninajivunia kutangaza kwamba nitajiunga na Real Madrid. Nina furaha kubwa kwa changamoto zote …

Isco Athibitisha Kusepa Real Madrid

Daily News

Kiungo wa Real Madrid Isco amethibitisha kwamba ataondoka Bernabeu kama mchezaji huru wakati wa dirisha hili la usajili na ilionekana anaweza kutimkia Uingereza ambako alikuwa akihusishwa na vilabu kama Chelsea, …

1 2 3 4 86 87 88