Manchester City - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Manchester City Yaona Mwezi

Daily News

Klabu ya Manchester City leo wameona mwezi baada ya kufanikiwa kupata ushindi dhidi ya klabu ya Luton Town katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza. Manchester City baada ya kutopata …

Manchester City na Chelsea Hali Tete

Daily News

Klabu ya Manchester City na Chelsea wako kwenye kipindi kigumu kwasasa baada ya klabu ya Everton kupokonywa alama 10 baada ya kuvunja sheiria za matumizi ya fedha. Everton wamepokwa alama …

Manchester City Yaua Doku Akitakata

Daily News

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kupata alama tatu kwa kishindo baada ya kuibamiza Bournamouth mabao sita kwa moja, Huku winga Jeremy Doku akitakata. Manchester City wakiwa katika uwanja wao wa …

Manchester City Yaibuka Kidedea Derby Day

Daily News

Klabu ya Manchester City wamefanikiwa kuibuka kidedea katika mchezo derby kati yao na mahasimu zao klabu ya Manchester United ambapo wamefanikiwa kushinda mabao matatu kwa bila. Mchezo huo uliopigwa katika …

Manchester City Yatawala Tuzo za Fifa

Daily News

Klabu ya Manchester City imetawala tena kwenye orodha ya wachezaji wa kiume wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Fifa ambazo zinatarajiwa kutolewa hivi karibuni. Manchester City imefanikiwa kutoa …

Manchester City Walimtaka Balde

Daily News

Taarifa zinaeleza kua mabingwa wa soka kutoka nchini Uingereza klabu ya Manchester City walikua wanamtaka beki kinda wa kushoto wa klabu ya Barcelona Alejandro Balde. Manchester City walikua wanafuatilia kwa …

Manchester City na Nunes Kila Kitu Safi

Daily News

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumalizana  na klabu ya Wolverhampton kwajili ya kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Ureno Matheus Nunes. Manchester City ambao walikua wanamuwinda kiungo huyo …

Manchester City Yajitoa kwa Nunes

Daily News

Manchester City wako tayari kuachana na mpango wa kumsajili mchezaji Matheus Nunes kutoka Wolves. Meridianbet wakali wa odds kubwa kila jamvi ushindi ni uhakika. Nunes amekataa kufanya mazoezi  lakini Wolves …

Manchester City Waweka 90 kwa Rice

Daily News

Klabu ya Manchester City wamefanikiwa kupeleka ofa kwa klabu ya West Ham kwajili ya kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uingereza Declan Rice. Manchester City wamepeleka kiasi cha …

Manchester City Yaibukia kwa Rice

Daily News

Klabu ya Manchester City imeingia kwenye vita ya kumsajili kiungo wa klabu ya West Ham United Declan Rice ambaye amekua akifukuziwa kwa karibu na klabu Arsenal. Manchester City imeondokewa na …

1 2 3 4 138 139 140