Manchester United Vs Spurs Battle ya Vibonde
Kutoka kua mchezo wenye mvuto na ushindani mkubwa mpaka sasa umegeuka kua mchezo ambao unazikutanisha timu zilizopo kwenye nafasi za chini kwenye msimu wa ligi kuu ya Uingereza ni Manchester …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Kutoka kua mchezo wenye mvuto na ushindani mkubwa mpaka sasa umegeuka kua mchezo ambao unazikutanisha timu zilizopo kwenye nafasi za chini kwenye msimu wa ligi kuu ya Uingereza ni Manchester …
Klabu ya Manchester United baada ya kuachana na mkurugenzi wake wa michezo raia wa kimataifa wa Uingereza Dan Ashowrth inaelezwa kwasasa wanamfukuzia mkurugenzi wa michezo wa Atletico Madrid ya nchini …
Manchester United ya asali na maziwa imerejea ndio kauli pekee unaweza kuitumia kwasasa ambapo klabu hiyo leo imetimiza mchezo wake saba bila kupoteza kwenye michuano yote baada ya kuibamiza Everton …
Manchester United katika mchezo wa kombe la Carabao Cup wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao matano kwa mawili dhidi ya klabu ya Leicester City ikiwa ni mchezo wa kwanza wa kocha …
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mazungumzo na kiungo wake kinda mwenye umri wa miaka (19) Kobbie Mainoo raia wa kimataifa wa Uingereza ambaye anafanya vizuri ndani ya klabu hiyo …
Mabosi wa klabu ya Manchester United wameendelea na vikao kwa siku ya pili mfululizo wakijadili hatma ya kocha wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag ambaye …
Klabu ya Manchester United inaelezwa ina mpango wa kumsajili kiungo wa zamani wa klabu ya Juventus raia wa kimataifa wa Ufaransa Andrien Rabiot kwa mipango ya muda mfupi kwa dili …
Uongozi wa klabu ya Manchester United chini ya mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo Omar Berrada wameweka wazi kua wana imani kubwa na kocha wa klabu hiyo mdachi Erik Ten Hag …
Klabu ya Manchester United imemuuza kiungo wake kinda mwenye kipaji kikubwa kwenda klabu ya Legia Warsaw ya nchini Poland baada ya kukaa klabuni hapo kwa muda mrefu. Maxi Oyedele mwenye …
Klabu ya Manchester United leo itaufungua msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2024/25 wakikipiga dhidi ya klabu ya Fulham mchezo utakaopigwa katika dimba la Old Trafford. Manchester United baada …
Leo hii August 6 ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL inaanza rasmi hapo baadae majira ya saa 4:00 usiku ambapo Manchester United chini ya Erik Ten Hag watakipiga dhidi …
Klabu ya Manchester United inaelezwa bado inawapigia hesabu mabeki wawili wa klabu ya Fc Bayern Munich Noussair Mazraoui na Mathijjs De Ligt kuelekea mwishoni wa dirisha hili. Mazungumzo yanaendelea baina …
Klabu ya Manchester United inaelezwa kuwinda saini ya kiungo wa klabu ya Burnley ambayo imeshuka daraja Sander Bergre raia wa kimataifa wa Norway kuelekea msimu mpya wa 2024/25. Manchester United …
Klabu ya Manchester United ina mpango wa kuingilia dili la klabu ya Ac Milan na kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Youssouf Fofana ambaye anakaribia kwenda Milan. Manchester United inaripotiwa kujitoa …
Klabu ya Manchester United ipo mbioni kuwabeba wachezaji wawili wa klabu ya Bayern Munich ambao ni Mathijjs De Ligt pamoja na beki wa kulia Noussair Mazraoui raia wa kimataifa wa …
Bundi aanza kulia ndani ya Manchester United ndio kauli ambayo unaweza kuitumia kwani klabu hiyo mpaka sasa wachezaji wake wanne wameshapata majeraha kuelekea msimu mpya. Msimu uliomalizika Manchester United ilikua …
Klabu ya Manchester United na kiungo wa kimataifa wa Uruguay Manuel Ugarte ambaye anakipiga ndani ya klabu ya PSG inaelezwa ni suala la muda kwa kiungo kujiunga na Mashetani wekundu. …
Klabu ya Manchester United sasa inatarajiwa kurudi kwa mlinzi wa klabu ya Everton raia wa kimataifa wa Uingereza Jarrad Branthwaite ambaye dili lake lilishindikana siku kadhaa nyuma. Baada ya kumsajili …
Klabu ya Manchester United baada ya kukamilisha dili beki wa kimataifa wa Ufaransa Leny Yoro mwenye umri wa miaka (18) sasa wanahamia kwa kiungo wa kimataifa wa Uruguay Manuel Ugarte. …
Klabu ya Manchester United inaweza kupindua meza mbele ya Real Madrid kwa kumsajili kinda wa kimataifa wa Ufaransa mwenye umri (18) Leny Yoro anayekipiga ndani ya klabu ya Lille. Kinda …