Manchester United Erik ten Hag - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Ten Hag Yupo Sana Man United

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag inaelezwa bado ataendelea kusalia ndani ya klabu hiyo zaidi licha ya matokeo yasiyo ya kuridhisha hivi …

Eriksen Achukizwa Kukaa Benchi

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Denmark Christian Eriksen amefunguka kua anachukizwa na yeye kutokupata muda wa kucheza ndani ya klabu hiyo kwasasa. Kiungo Eriksen amesema …

Ten Hag Akanusha Rashford Kutimka

Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amekanusha taarifa za mshambuliaji wake klabuni hapo Marcus Rashford kuhusishwa na mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa klabu ya PSG. Kumekua na tetesi …

Potter Kumrithi Ten Hag

Daily News

Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea na Brighton Hove and Albion Graham Potter anatajwa kama mbadala wa kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ambaye anaonekana kua …

Ten Hag Ataka Kikosi Kipana

Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag ameweka wazi kua anahitaji kikosi kipana na chenye ubora ili kuweza kupata matokeo bora mfululizo kipindi hichi ambacho klabu hiyo inapata matokeo yasiyoridhisha. …

Manchester United Yatamba Novemba Epl

Daily News

Klabu ya Manchester United imefanikiwa kutawala tuzo za ligi kuu ya Uingereza ambapo wamefanikiwa kuchukua tuzo tatu katika ligi hiyo kwa mwezi Novemba. Manchester United imetwaa tuzo ya mchezaji bora …

Ten Hag: Wachezaji Wananisapoti

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema wachezaji wa klabu hiyo wanamsapoti na wapo nyuma yake na sio kama ambavyo inaelezwa wachezaji hawamkubali tena. Kocha Ten Hag …

Manchester United Yawapiga Pini Waandishi

Daily News

Klabu ya Manchester United imeeleza kua imewapiga marufuku baadhi ya waandishi na vyombo vya habari nchini Uingereza kutokana na kuchapisha habari bila kuwasiliana na klabu. Manchester United imeweka wazi kua …

Ten Hag Yupo Kikaangoni

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag anaelezwa yupo kwenye kikaango ndani ya klabu hiyo kutokana na mwendendo wa timu hiyo kwasasa. Ten Hag ambaye anaiongoza klabu ya …

1 2 3 4 25 26 27