Manchester United Wayne Rooney - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Rooney Kuifundisha MLS All-Star

Daily News

Gwiji wa zamani wa klabu ya Manchester United Wayne Rooney anatarajwa kuifundisha timu ya mastaa wanaocheza ligi kuu nchini Marekani katika mchezo dhidi ya klabu ya Arsenal unaotarajiwa kupigwa mwezi …

Rooney Ataja Goli Lake Bora

News

Wayne Rooney amekiri kuwa goli lake dhidi ya Manchester City mwaka 2011 halikuwa bao bora katika maisha yake ya soka. Nahodha huyo wa zamani wa England alisema alikuwa ‘mbaya’ kwenye …

Wayne Rooney Awaonya Makocha wa Uingereza

News

Wayne Rooney amewataka Makocha wa Uingereza kuacha ukaidi, kufikiria kazi nje ya nchi ili kujiimarisha na kujiendeleza kama makocha. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester United na Everton, kwa sasa …

Rooney Amuwakia Mbappe.

Champions League

Sakata la staa wa klabu ya Paris Saint German ya nchini Ufaransa Klian Mbappe linachukua sura mpya kadri siku zinavyokwenda. Nyota wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu …

Wayne Rooney Aachana na Derby County

League one

Mchezaji wa zamani na Manchester United na kocha wa Derby County Wayne Rooney ameachana na klabu hiyo leo, waraka wa klabu umethibitisha hilo. Waraka wa Derby County ulisomeka “Wayne Rooney …

Rooney Amkejeli Christiano Ronaldo

Daily News

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney amemcheka Christainao Ronaldo baada ya nyota huyo wa Ureno kudai kwamba Rooney anamuonea wivu. Rooney aliongea wiki hii kwamba staa huyo aliyesajiliwa …

Rooney: Ningemchagua Pochettino

Daily News

Mada kuu kwa Manchester United sasa hivi ni kocha mpya. Rangnick amebakiza michezo 8 tu kuachia ngazi, Wayne Rooney anayake ya kusema. Kwa hali ilivyo mpaka sasa, hakuna mwenye uhakika …

Rooney Anandoto na Man United.

Daily News

Mchezaji lijendi na mwenye heshima kwenye historia ya Manchester United, Wayne Rooney, aweka wazi ndoto yake aliyonayo kwenye klabu hiyo. Rooney anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa United mwenye idadi …

1 2 3 4