Marseille - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Gattuso Atimuliwa na Olympique Marseille

Ligue 1

Kiungo wa zamani wa Milan na Italia Gennaro Gattuso ametimuliwa na klabu ya Marseille. Vyanzo vingi, ikiwa ni pamoja na L’Equipe na Fabrizio Romano, vinadai bodi ya Olympique Marseille imemfahamisha Gattuso …

Aubameyang Aibukia Marseille

Ligue 1

Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Arsenal,Barcelona na Dortmund Pierre Emerik Aubameyang amefanikiwa kujiunga na klabu ya Olympique Marseille. Aubameyang amejiunga na klabu ya Olympique Marseille kwa mkataba wa miaka …

Ounahi Mbioni Kujiunga Marseille

Ligue 1

Kiungo wa kimataifa wa Morocco Azzedine Ounahi anayekipiga katika klabu ya Angers inaelezwa anakaribia kujiunga na klabu ya Olympique de Marseille ya nchini Ufaransa. Azzedine Ounahi amekua kwenye rada za …

Marseille Kuwaalika Frankfurt

Champions League

Klabu ya Marseille ya nchini Ufaransa inatarajia kuwakaribisha Eintracht Frankfurt ya Ujerumani baada ya timu hizi mbili kupoteza mechi zao za kwanza kwenye ufunguzi wa klabu bingwa wiki iliyopita.   …

Marseille Kuwakaribisha Lille

Daily News

Klabu ya Marseille inatarajia kuikaribisha klabu ya Lille hii leo katika mzunguko wao wa saba ambapo timu nyingine zikiwa zimeshacheza mechi zao za saba. Mechi za mwisho kukutana timu hizi …

Olympique Marseille Wapingwa Rungu Na Fifa.

FIFA

Sheria ni msumeno. Olympique Marseille wameingia kwenye anga za Fifa. Rungu la sheria limewaangukia. HAKUNA KUSAJILI kwa mwaka mmoja. Kama kuna timu inajua ladha halisi ya kufungiwa usajili, basi ni …

Marseille Wanavutiwa Kumsajili Coutinho

Bundesliga

Dili ya Barcelona kumsaini Philippe Coutinho inaweza kuwa ni dili ambayo Barca walifanya makosa kwani wanaijutia kwani walitoa kiasi kikubwa cha pesa kukamilisha usajili huo na haijazaa matunda. Coutinho amewekwa …

1 2 3 4 13 14 15