Memphis Depay - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Inter Haitamnunua Memphis Depay

Daily News

Wakili wa Memphis Depay amesema kuwa mchezaji wake hatajiunga na Inter inayoshiriki Serie A kutoka Barcelona kwenye dirisha la Januari.   MshambuliAJi huyo wa Uholanzi anatarajiwa kuondoka Barca mwezi huu, …

Barcelona Kumpoteza Memphis Depay

Daily News

Barcelona wamefanya kosa ambalo linaweza kuja kuwagharimu wakati walipokuwa wanafanya makubaliano ya kumpa mkataba Memphis Depay. Barcelona walimapata Depay kwenye usajiri huru majira ya kiangazi ambapo mkataba wake ulipo malizika …

Depay Anatakiwa Atletico Madrid

La Liga

Klabu ya Atletico Madrid ipo kwenye mpango wa kumsajili Memphis Depay kutoka klabu ya Fc Barcelona ambaye amekua hapati nafasi kwenye timu hiyo chini ya kocha Xavi. Klabu ya Atletico …

Roma na Juventus Wamgombania Depay

Daily News

Miamba ya Italia Roma wameungana na Juventus katika kinyang’anyiro cha kuwania saini ya mshambuliaji wa Barcelona Memphis Depay. Mshambuliaji huyo wa Uholanzi alijiunga na timu hiyo ya Hispania msimu wa …

Depay Anataka Kusalia Barcelona.

Daily News

  Mchezaji wa Barcelona, Memphis Depay amethibitisha nia yake ya kuendelea kusalia Nou Camp kwa msimu wa 2022-23 licha ya tetesi kuibuka anaweza kuuzwa kutokana na ukata wa kifedha unaoikabili …

Xavi Kumtoa kwa Mkopo Depay

Daily News

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi yupo kwenye mikakati ya kumpeleka kwa mkopo nyota wa timu hiyo Memphis Depay wa miezi sita ili kuweza kumpa nafasi ya kucheza mholanzi mwenzie …

1 2 3 4 5 6