Michael Zorc - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Favre Haendi Popote – Michael Zorc.

Bundesliga

Lucien Favre ataendelea kubaki katika klabu ya Borussia Dortmund msimu ujao na kiongozi wa michezo Michael Zorc anatumainiΒ  kumuongeza mkataba mpya Giovanni Reyna. Kocha huyo kutoka nchi ya Uswis amebakiwa …

Dortmund wamsajiri Karim Adeyemi

Bundesliga

Klabu ya Borussia Dortmund wamemsajiri mshambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani Karim Adeyemi kutoka nchini Australia kwenye klabu ya Salzburg ambao ni mabingwa wa nchi hiyo leo jumanne. Klabu ya Dortmund …

Dortmund Yahakikisha Haaland Haondoki

Daily News

Baada ya ushindi wa 3-0 wa Borussia Dortmund dhidi ya Greuther Furth Jumatano, Erling Haaland alionekana akipunga ncha zote nne za Signal Iduna Park katika kile kilichotafsiriwa kama ishara ya …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Newcastle United imeonyesha nia ya kumtaka kiungo wa Uingereza, Jesse Lingard katika dirisha dogo la Januari, mchezaji huyo mwenye miaka 28 kandarasi yake inataraji kuisha katika kipindi …

Jadon Sancho Kugonganisha Vigogo EPL.

Daily News

Kuelekea dirisha kubwa la usajili barani Ulaya. Jadon Sancho ameanza kuviteka vichwa vya habari kwa mara nyingine msimu huu. Klabu ya Borussia Dortmund imeripotiwa kupunguza dau la kumsajili nyota wao …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Barcelona wanakaribia kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, 32 japo itategemea na Lionel Messi kuendelea kusalia Camp Nou. Mkufunzi wa Manchester United Ole …

Dortmund Hakuna Jipya Kuhusu Brandt.

Bundesliga

Klabu ya Borussia Dortmund imetoa tamko kuhusu tetesi za usajili wa Julian Brandt. Arsenal wanahusishwa na mchezaji huyo. Brandt (miaka 24) anahusishwa kutimkia EPL mwezi huu ingawa bado anamkataba na …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema mkurugenzi wa michezo wa Borussia Dortmund Michael Zorc anatazamia kumuona mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland katika klabu hiyo kwa muda mrefu. Nyota huyo aliye na miaka 20- …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasemaΒ Barcelona huenda ikamsajili mshambuliaji wa Liverpool raia wa Senegal Sadio Mane, 28, au kiungo wa kati wa Uholanzi Gini Wijnaldum, 30, baada ya kipengee katika makubaliano yaliyowezesha Philippe Coutinho …

Sancho Afurahia Maisha ya Dortmund

Meridianbet

Winga wa Klabu ya Borussia Dortmund, Jadon Sancho amesema kuwa “anafurahi sana” kushirikiana na wachezaji wachanga wa Klabu hiyo na anataka kusaidia kuwaongoza – Winga huyo wa kimataifa England mwenye …

Danadana Uhamisho wa Jadon Sancho

Daily News

Taarifa zinaripoti kuwa Klabu ya Manchester United hawajakata tamaa ya kumfukuzia nyota wa Borusia Dortmund, Jason Sancho. Wakati huo, klabu ya Borusia Dortmund tayari walishaweka wazi kuwa staa huyu atasalia …

1 2