Murray - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Andy Murray Atolewa Australian Open 2022.

Tennis

Amahakika, ng’ombe wa masikini hazai. Licha ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na majeruhi, kurejea kwa Andy Murray kumeishia mzunguko wa pili kule Melbourne. Murray amerejea kwenye mashindano …

US Open: Murray, Djokovic Ndani ya Nyumba!

Tennis

Kuelekea moja ya mashindano makubwa kwenye ulimwengu wa tenesi. Djokovic na Murray kushiriki mashindano ya US Open. Andy Murray anapata nafasi ya kuingia kwenye mashindano haya baada ya Stan Wawrinka …

Tokyo Olympics: Murray vs Aliassime

Tennis

Kuelekea mashindano ya Tokyo Olympics 2021, Andy Murray kuchuana na Felix Auger-Aliassime kwenye mzunguko wa kwanza kunako tenesi. Murray ambaye anamedali 2 za dhahabu kwenye mashindano ya Olympic (2012 na …

Wimbledon 2021: Murray Aonesha Ubora Wake.

Tennis

Mashindano ya Wimbledon 2021 yanaendelea kutimua vumbi nchini Uingereza. Baadhi ya wachezaji wamejitoa kwa sababu mbalimbali, wengine wanaendelea kuonesha ubora wao. Andy Murray ameonesha uwezo wake katika mchezo uliokuwa na …

Tokyo 2020, Andy Murray Kikosini Uingereza.

Tennis

Kuelekea mashindano ya Olympics yatakayofanyika Tokyo 2020, Japan – Andy Murray ajumuishwa kwenye kikosi cha Uingereza. Bingwa mara mbili wa Olympics [Andy Murray] atachuana na Dan Evans kwenye mpambano wa …

Andy Murray Kujifua na Novak Djokovic.

Tennis

Baada ya kukaa nje ya uwanja toka mwezi Machi, aliyewahi kuwa mchezaji namba moja (kwa wanaume) duniani, Andy Murray anatarajia kuanza kujifua wikiendi hii. Murray atasafiri kuelekea Rome-Italia ambapo anatarajia …

Australian Open 2021: Murray Hatoshiriki.

Tennis

Andy Murray atayakosa mashindano ya Australian Open 2021 baada ya kukosekana kwa suluhisho kwenye utaratibu wa kukaa karantini nchini Australia. Murray alishindwa kusafiki kutoka Uingereza kwenda Australia baada ya kukutwa …

Australian Open: Murray Akutwa na COVID19.

Tennis

Aliyewahi kuwa mchezaji wa tenesi namba 1 duniani – Andy Murray, yupo mashakani kwenye kushiriki mashindano ya Australian Open 2021 baada ya kukutwa na COVID19. Murray alitarajia kuanza safari kuelekea …

Andy Murray Ajitoa ATP -Delray Beach.

Tennis

Muingereza Andy Murray ameamua kujiondoka kwenye mashindano ya ATP yatakayofanyika Delray Beach wiki ijayo, sababu ikiwa sio majeruhi. Andy Murray atauanza msimu wa 2021 katika michezo itakayofanyika jijini Florida hii …

1 2 3
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.