New York Knicks - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

NBA: Suns Wamekata Kamba ya Warriors.

Basketball

Mambo yanazidi kunoga kunako NBA 2021/22, mtanange wa Phoenix Suns na Golden State Warriors, umetoa matokeo tofauti na  yaliyotarajiwa. Licha ya kumpoteza Devin Booker baada ya kupata majeruhi, Suns wamefanikiwa …

NBA: Jazz, Lakers Ushindi Tu!

Basketball

NBA msimu wa 2021/22 unaendelea kusogea, burudani inaendelea kunoga kila uchwao. Utah Jazz, LA Lakers, Warriors ni ushindi tu. Jazz walikua uwanjani kuchuana na Denver Nuggets katika mchezo wa 4 …

Jordan Asajiliwa Los Angeles Lakers.

Daily News

  Klabu ya Los Angeles Lakers wamesajili rasmi mkongwe DeAndre Jordan kwenye orodha yao, baada ya kutangaza rasmi jana [Alhamisi] usiku.   Masharti ya usajili huo hayajatolewa, ingawa jarida la …

NBA: Wizards Wameingia Play-Offs 2021.

Basketball

Michezo ya Play-in tournament inamalizika leo usiku. Washington Wizards wamefanikiwa kutinga hatua ya Play-Offs kunako NBA msimu huu. Wizards ambao walipoteza mchezo wao wa kwanza wa play-in dhidi ya Boston …

NBA: Miami Heats Yafuzu Play-Offs.

NBA

Hatua yenye burudani kunako Ligi ya NBA huwa ni michezo ya mtoano (play-Offs). Huku ni timu 2 kuchuana mara 7, hakuna kubahatisha! Miami Heats wamefuzu hatua hiyo. Katika muendelezo wa …

NBA: Curry Aweka Rekodi Warriors.

Basketball

Burudani ya ligi ya NBA mara zote inaendana na kufikiwa/kuwekwa au kuvunjwa kwa rekodi kadha wa kadha. Jumatatu hii, Stephen Curry ameweka rekodi ndani ya timu yao ya Golden State …

Utah Jazz, Kama Ilivyokuwa 1996/97.

Basketball

Timu ya kikapu inayocheza ligi ya NBA, Utah Jazz, wameendelea kuwa bora kwa kuweka rekodi waliyokuwa nayo 1996/97. Jazz walikuwa uwanjani kupambana na Boston Celtics katika mchezo walioshinda kwa pointi …

NBA: Bucks na Mavericks Wametoka Kimasomaso

Basketball

Katika muendelezo wa michezo ya NBA 2020/21. Milwaukee Bucks na Dallas Mavericks, wametoka kimasomaso katika michezo yao waliyocheza usiku wa kuamkia leo. Bucks wakiongozwa na Giannis Atentokounmpo, waliwalaza Indiana Pacers …

NBA: Lakers na Rockets Ni Ushindi Tu!

Basketball

Michezo kadhaa imeendelea kuchezwa usiku wa kuamkia leo katika muendelezo wa ligi ya kikapu nchini Marekani, NBA. LA Lakers na Houston Rockets wamefanya yao! Lakers ambayo ilikuwa na mashaka juu …

NBA 2020/21, Mambo ni Moto!

Basketball

Muendelezo wa michezo ya NBA 2020/21 ni burudani inayopambwa na rekodi zinazowekwa na zingine zinavunjwa. Wapo wanaopanda na wapo wanaoshuka. LA Lakers, Milwaukee Bucks, Brooklyn Nets, Boston Celtics ni miongoni …

NBA: Lakers na Warriors Ni Moto!

Basketball

LA Lakers na Golden State Warriors wamewalaza na viatu Chicago Bulls na LA Clippers kwenye muendelezo wa NBA. Lakers walikuwa uwanjani wakichuana na Chicago Bulls katika mchezo uliomalizika kwa ushindi …

NBA: Celtics, Bucks Mambo Safii!!

Basketball

Mambo ni shwari kwenye viwanja kadha wa kadha kunako mchezo wa kikapu – NBA. Boston Celtics, Milwaukee Bucks na wengine kibao mambo ni safi. Ulikuwa ni kama mchezo wa marudiano …

1 2