Norwich City - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Norwich City Ni Lampard vs Dean Smith

Daily News

Aston Villa, Watford na Newcastle United wameshaamua makocha wapya. Norwich City bado hakijaeleweka ni Frank Lampard vs Dean Smith. Vilabu vinne kati ya vitano vinavyoshikilia nafasi za mwishoni kwenye msimamo …

EPL: Kuelekea Liverpool vs Norwich City

Football

Msimu huu wapa! Wazee wa mikeka wameshaandaa kalamu na karatasi kwa ajili ya kuandika hesabu za pesa zao, tunaanzia hapa; Liverpool V Norwich City. Liverpool wanatarajia kufanya vyema zaidi ya …

Uchambuzi EPL: Arsenal vs Norwich

Daily News

Arsenal na Norwich ndiyo timu ambazo zinashika mkia katika msimamo wa Premier League baada ya mechi za wiki ya tatu wote wakiwa wamefungwa michezo yote na kuruhusu jumla ya magoli …

Aston Villa Kuingia Mazima Kwa Norwich

Daily News

Hakika dirisha la usajili limewanyookea Aston Villa kwa hali ilivyo kwa sasa. Tayari Bailey, Buendia na Ings wameshatua Villa Park lakini kunauwezekano wa wengine kuja. Villa wapo mbioni kumuachia nahodha …

Norwich Inajiweka Sawa Kwa Msimu Ujao.

Daily News

Baada ya kushuka daraja msimu wa 2019/20, Norwich City sasa wanarejea kwenye EPL msimu ujao, 2021/22. Vijana wa Carrow Road wanaendelea kujiweka sawa kuelekea msimu ujao. Norwich wameshamrudisha kwenye timu …

EPL: City vs Spurs, Kimeumana 2021/22.

Daily News

Wakati tukiendelea kuburudika na Euro 2020, EPL imetoa ratiba rasmi ya msimu wa 2021/22.  Mambo yananoga! Mabingwa watetezi, Manchester City wataanza safari ya kutetea ubingwa wa EPL kwa kuchuana na …

Norwich Kuwazuia Wachezaji Watatu.

Daily News

Inasemekana klabu ya Norwich City haitokubali kupokea dau lolote kwa wachezaji wake watatu wanaowindwa na vilabu mbalimbali kwenye dirisha hili la usajili. Max Aarons, Todd Cantwell na Emiliano Buendia ni …

Chelsea vs Norwich, Vikosi

Daily News

Chelsea vs Norwich: Chelsea leo ni mwenyeji wa Norwich, akiwa anataka kujisimika katika nafasi yake ya 3, huku mbio za kuikamata nafasi hiyo zikiwa ni moto hasa kufuatia taarifa kuwa …

1 2 3 4 9 10 11