Nuno Espirito Santo - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Nuno: Mpira wa Miguu Hauna Huruma

Daily News

Nuno Espirito Santo ameelezea kwamba “Mpira wa miguu ni mchezo usiyo na huruma” lakini anaendelea mbele kuangalia changamoto mpya baada ya kutimuliwa na Tottenham wiki iliyopita. Kocha huyo wa raia …

Nuno Atua Spurs Na Watu Wake.

Daily News

Baada ya kukabidhiwa kibarua cha kukinoa kikosi cha Tottenham Hot Spurs kama kocha mkuu, Nuno Espirito Santo ametangaza benchi lake la ufundi.  Rui Barbosa (kocha wa makipa) na Antonio Dias …

Nuno Atatua Everton Au Tumuache Kidogo?

Daily News

Everton bado wanahaha kumtafuta mbadala wa Carlo Ancelotti baada ya kocha huyo kuamua kurudi Real Madrid. Nuno Espirito Santo anaendelea kutajwa. Baada ya kushindwa kufikia makubaliano na Crystal Palace na …

Nuno Afurahia Maendeleo Ya Jota

Daily News

Kocha wa Wolverhampton – Nuno Espirito Santo ameweka wazi hisia zake za kufurahishwa na namna Diogo Jota alivyooanza maisha ndani ya klabu ya Liverpool. Wolves waliamua kumuuza Jota kwa ada …

1 2 3 4 5