Oleksandr Usyk - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Kumbe Bondia Usyk Alishawahi Kuzirai!!

News

Bingwa wa dunia wa uzito wa juu Oleksandr Usyk aliwahi kuzirai wakati wa mazoezi makali alipokuwa mpiganaji mahiri. Kabla ya ushindi wake katika pambano la marudiano na Anthony Joshua mwezi …

Usyk Kupigana na Deontay Wilder

News

Usyk:Kufuatia ushindi wake dhidi ya Anthony Joshua, pambano la pili la Oleksandr Usyk ni dhidi ya Deontay Wilder na promota Eddie Hearn anadhani Mukreini huyo atashinda kwa raha. Haijapita muda …

Fury: Usyk Hataki Pambano na Mimi.

Daily News

Tyson Fury alisema Oleksandr Usyk hataki pambano la uzito wa juu lisilopingika (undisputed heavyweight clash) mwaka huu, akiongeza kuwa atatangaza pambano wiki ijayo. Bingwa wa uzito wa juu wa WBC, …

Hearn: Tyson Fury Amemkwepa Oleksandr

Boxing

Eddie Hearn amedai kuwa Tyson Fury alikataa nafasi ya kupigana na Oleksandr Usyk kwenye pambano liisilopingika. Promota huyo wa masumbwi aliendelea kutaja kuwa Muingereza huyo badala yake alipendelea pambano la …

Joshua Ataka Pambano na Usyk Rirudiwe Haraka

Boxing

Anthony Joshua  anataka pambano lake na Oleksandr Usyk rirudiwe tena baada ya kupoteza dhidi ya mpinzani wake huyo, wakati mwanamasumbwi huyo aliyeengia kwa kujiamini lakini alipoteza kwa pointi. Joshua amempoteza …

1 2 3