Zidane Anatua Paris Saint-Germain?
Zinedine Zidane ndiyo jina linalotajwa sana kama mbadala wa kocha wa Paris Saint-Germain Mauricio Pochettino licha ya klabu hiyo ya Ligue 1 kutosema chochote juu ya uwezekano wa kumleta kocha …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Zinedine Zidane ndiyo jina linalotajwa sana kama mbadala wa kocha wa Paris Saint-Germain Mauricio Pochettino licha ya klabu hiyo ya Ligue 1 kutosema chochote juu ya uwezekano wa kumleta kocha …
Sergio Ramos hana mpango wowote wa kuondoka Paris Saint-Germain na anaendelea kuzingatia kucheza mchezo wake wa kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo ya Ligue 1, hii ni kwa mujibu wa …
Lionel Messi amesema kwamba hajutii wala hakukosea kujiunga na Paris Saint-Germain baada ya kuanza kwa ugumu ndani ya miamba hao wa Ufaransa kwani amefanikiwa kufunga bao moja pekee katika michezo …
Mashabiki wa Paris Saint-Germain na ulimwengu unaotazama watalazimika kusubiri wiki zaidi ili kuona Lionel Messi akicheza mechi yake ya kwanza na klabu yake mpya, na Mauricio Pochettino hakumtaja katika kikosi …
Vyanzo vinaripoti kwamba Lionel Messi na Paris Saint-Germain wamefikia makubaliano ya kusaini mkataba baada ya Messi kuachana na Barcelona Messi atasaini mkataba wa miaka miwili na PSG, huku kukiwa na …
Ingawa Sergio Ramos bado sio mchezaji rasmi wa Paris Saint-Germain, lakini imebainika kuwa atavaa Nambari 4 na klabu ya Ligue 1. Ramos aliondoka Real Madrid baada ya kushindwa kukubali kandarasi …
Muda wa Achraf Hakimi huko Inter unaweza kuwa mfupi, na nyota huyo wa zamani wa Real Madrid anaweza kuhama msimu huu wa joto. Paris Saint-Germain wamemtambua mchezaji huyo mwenye umri …
Paris Saint-Germain wamesitisha mkataba wa fowadi Jese Rodriguez miezi sita mapema kabla ya kufika mwisho. Mchezaji huyo wa miaka 27 alijiunga na PSG kutoka Real Madrid mwaka 2016 lakini ametumia …
Marco Verratti amepiga hatua katika maendeleo yake kutokana na kuwa na jeraha la paja kwa kurejea mazoezini, Paris Saint-Germain siku ya Jumatano. Kiungo huyo akiwa amerejea kutoka kwenye majukumu katika …
Kylian Mbappe alifunga moja na kutoa asisti moja katika ushindi wa 3-0 wa Paris Saint-Germain dhidi ya Nantes katika Ligue 1 siku ya Jumamosi. PSG walikuwa bila mshambuliaji Neymar ambaye …
Juan Bernant huenda akakosa michezo kadhaa msimu mpya 2020-21 baada ya Paris Saint-Germain kuthibitisha beki huyo kusumbuliwa na jeraha la goti. Bernat alitolewa nje baada ya kuumiza goti lake katika …
Paris Saint-Germain wamefanikiwa kumsaini mchezaji Alessandro Florenzi kutoka klabu ya Roma kwa mkopo kukiwa na kipengele cha kumnunua moja kwa moja. Mchezaji huyo aliyecheza mechi 36 katika timu ya taifa …
Lionel Messi hatafikiria lolote zaidi ya tukio lijalo la sherehe atakaporejea Argentina, akiwa amebeba kombe la Kombe la Dunia mikononi mwake. Bila shaka siku kumi zijazo zitatolewa kwa ajili ya …
Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe aliripotiwa kuhusishwa na kutimikia Real Madrid lakini Leonardo amesema klabu hiyo itafanya kila kitu inachoweza kumfanya nyota huyo kusalia klabuni hapo. Katika mahojiano ya …
Rais wa La Liga Javier Tebas amesama ana ushahidi wa kuthibitisha kuwa Paris Saint Germain wamekuwa wakitumia udanganyifu kukwepa sheria ya matumizi mabaya ya fedha “Financial Fair Play regulations.” Tebas …
Paris Saint-Germain haitaweza kuwa na rekodi ya kutopoteza mchezo katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligue 1 baada ya kupoteza kwa 1-0 mchezo wa kwanza dhidi ya Lens siku ya …
Ripoti kutoka Italia zinapendekeza kuwa timu za Milan na Juventus zote zinavutiwa na fursa ya kumsajili Dani Olmo, ambaye kwa sasa anamilikiwa na Barcelona, lakini hawezi kucheza kwa timu yake …
Kiungo wa kati wa Roma, Leandro Paredes alidai kuwa alikuwa na furaha san’ akiwa Stadio Olimpico hadi alipofanya kazi chini ya kocha Daniele De Rossi, na kuongeza kuwa anaishi maisha …
Napoli wanatarajia kuendeleza mazungumzo na mshambuliaji nyota Khvicha Kvaratskhelia wakati wa mapumziko ya sasa ya kimataifa, kwani klabu hiyo imepanga mazungumzo kati ya wakala wa mchezaji huyo na mkurugenzi wa …
Wakati baadhi wanajiuliza ikiwa Manchester United walikosea kumuuza Scott McTominay, Antonio Conte anaeleza jinsi uchezaji wa kiungo huyo wenye ufanisi unaweza kunawiri katika Napoli. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Scotland …