Pierre-Emerick Aubameyang - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Aubameyang Anyemelewa na PSG

Daily News

Paris Saint-Germain wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Chelsea Pierre-Emerick Aubameyang wa Chelsea msimu wa dirisha dogo linaloanza Januari, na mchezaji huyo mpaka sasa ana miaka 33.   Aubameyang  alijiunga na Blues …

Aubameyang Atundika Daluga.

Football

Maisha ya soka yanapande mbili – klabu na timu ya taifa. Pierre-Emerick Aubameyang ameamua kutundika daluga upande mmoja. Aubameyang ambaye ni mchezaji wa FC Barcelona na nahodha wa Timu ya …

Aubameyang Atangaza kustaafu

CAF

Mchezaji nyota wa klabu ya Barcelona Pierre-Emerick Aubameyang ametangaza kustaafu soka la kimataifa na amethibitisha kuwa hataiwakilisha tena taifa la Gabon ila bado ataendelea kucheza soka la kulipwa. Aubameyang ambaye …

Xavi: Aubameyang ni Zawadi Kutoka Peponi

Daily News

Kocha mkuu wa Barcelona amesema kwamba mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang ni kama zawadi kutoka peponi baada ya mchezaji huyo kufanya vizuri ndani ya Barcelona. Aubameyang alifunga bao katika ushindi wa 4-0 …

Aubameyang Afungua Akaunti ya Mabao Barcelona

Daily News

Pierre-Emerick Aubameyang aling’aa kwenye mchezo wa Barcelona dhidi ya Valencia siku ya Jumapili katika dimba la Estadio Mestalla kwenye mtanange wa LaLiga Santander. Barcelona iliifunga Valencia mabao 4-1 magoli yaliyowekwa …

Aubameyang : Nimeumia Kuondoka Arsenal.

Daily News

  Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang anasema inauma kuondoka Arsenal bila kusema kwaheri baada ya kuondoka katika klabu hiyo kwa makubaliano kabla ya kuhamia Barcelona kwa uhamisho huru.   Taarifa ya Arsenal …

Usajili Wa Aubameyang, Kizungumkuti.

Football

Yamesalia masaa 6 kabla dirisha la usajili mdogo kufungwa barani Ulaya. Pierre-Emerick Aubameyang bado hakijaeleweka. Ni kizungumkuti. Wakati inaripotiwa kuwa FC Barcelona na Juventus zimeonesha nia ya kutaka kumsajili Aubamayeng, …

Mshahara wa Aubameyang Kikwazo Kwa Milan.

Daily News

Wakati Arsenal wakimuekea mazingira magumu Pierre-Emerick Aubameyang, mshahara wake ni kikwazo kwa AC Milan. Milan wapo sokoni kutafuta mshambuliaji wakati huu ambao Zlatan Ibrahimovic na Olivier Giroud ni majeruhi. Wanashika …

1 2 3 4 6 7 8