Raphael Varane - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Varane, Johnny Evans Warejea Mazoezini

Daily News

Kocha wa Manchester United ameeleza kua mabeki wake wawili waliokua wanauguza majeraha ambao ni Raphael Varane na Johnny Evans wamerejea mazoezini leo. Mabeki Raphael Varane na Evans walikua wanasumbuliwa na …

Ten Hag: Hatuna Tofauti na Varane

Daily News

Kcha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ameweka wazi mahusiano baina yake na beki wa kimataifa wa Ufaransa Raphael Varane ambaye anakipiga ndani ya klabu hiyo. Ten Hag …

Varane Kukosekana Wiki Sita

Daily News

Beki wa klabu ya Manchester United Raphael Varane ana uwezekano mkubwa wa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa wiki sita baada ya kupata majeruhi wikiendi iliyopita dhidi ya Nottingham …

Varane Apiga Chini dili la Saudia

Daily News

Beki wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Ufaransa Raphael Varane inaelezwa amepiga chini ofa za vilabu mbalimbali kutoka nchini Saudia Arabia. Beki Raphael Varane amekua akifuatiliwa na …

Varane Kurejea Kabla ya Msimu Kumalizika

Daily News

Beki wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Ufaransa Raphael Varane inaelezwa atarejea kabla ya msimu kumalizika kama ambavyo ilitarajiwa mwanzo kukaa nje msimu mzima. Varane alipata majeraha …

Varane Kurejea Hivi Karibuni

Daily News

Beki wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane ana uwezekano mkubwa wa kurejea hivi karibuni baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Chelsea wikiendi iliyopita. Beki …

1 2 3 4 6 7 8