Rashford - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Rashford Kuanza Dhidi ya Liverpool

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford amerejea kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo dhidi ya Liverpool leo baada ya kuanzia kwenye mchezo dhidi ya Chelsea. Rashford alianzia …

Ten Hag Akanusha Rashford Kutimka

Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amekanusha taarifa za mshambuliaji wake klabuni hapo Marcus Rashford kuhusishwa na mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa klabu ya PSG. Kumekua na tetesi …

Rashford Bado Hajaeleweka

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Marcus Rashford bado ameendelea kuchechemea katika michezo mbalimbali ambayo amekua akiitumikia klabu yake na timu ya taifa. Marcus …

Rashford Kukosekana Dhidi ya Fulham Leo

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester Marcus Rashford inaelezwa atakosekana katika mchezo wa leo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Fulham utakaopigwa katika dimba la Craven Cottage. Mshambualiaji huyo ametaarifiwa …

Ten Hag Matumaini Kibao kwa Rashford

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ameonekana kua na matumaini makubwa na mshambuliaji wake raia wa kimataifa wa Uingereza Marcus Rashford ambaye amekua chini ya kiwnago hivi …

Marcus Rashford Yupo United Mpaka 2028

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Marcus Rashford hatimae amesaini kandarasi yake mpya ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka 2028. Marcus Rashford ambaye alikua …

Rashford Achukizwa na Ubingwa wa City

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Marcus Rashford amekiri kutokufurahishwa na ubingwa wa klabu ya Manchester City ambao ni majirani zao katika jiji la …

Rashford Aifikia Rekodi ya Van Persie

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford amefanikiwa kuifikia rekodi ya mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uholanzi baada ya kufanikiwa kufikisha mabao 30 usiku …

Rashford Acharuka Baada ya Uzushi

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford ameonekana kucharuka baada ya taarifa mbalimbali za uzushi kuenea kwenye mitandao ya kijamii juu ya mshahara wake na mkataba mpya. Taarifa zimekua …

1 2 3 4 18 19 20
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.