Raul Jimenez - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Raul Jimenez Azungumzia Usajili wa United

Daily News

Ni kawaida kwa Manchester United kuhusishwa na wachezaji mbalimbali kila linapokuja suala la usajili. Raul Jimenez ameweka wazi kilichowahi kuripotiwa kuhusu kujiunga na ‘Red Devils’ Dirisha la usajili la majira …

Fulham Kumchukua Jimenez

Daily News

Klabu ya Fulham imefikia pazuri kwenye mazungumzo ya kumchukua mshambuliaji wa klabu ya Wolverhampton Wanderers Raul Jimenez raia wa kimataifa wa Mexico. Fulham chini ya kocha Marco Silva inataka kuhakikisha …

Jimenez Apata Jeraha la Fuvu la Kichwa.

Daily News

Raul Jimenez aliumia fuvu la kichwa na kufanyia upasuaji katika mchezo wa Jumapili dhidi ya Arsenal, Wolves iliposhinda 2-1,klabu imethibitisha. Jimenez aligongana vibaya na beki wa kati wa Arsenal David …

Jimenez Akaribia Rekodi ya Yaya Toure.

Daily News

Jimenez, Mshambuliaji hatari wa Mexico na Klabu ya Wolvehampton anakaribia rekodi ya Upigaji wa penati iliyowekwa na mu Ivory Coast Yaya Toure. Jimenez amefanikiwa kufunga penati 6 mfululizo, baada ya …

Wolves Wataka €100 kwa Jimenez

Daily News

Wolves wameripotiwa kuweka bei yao ya kumuuza Raul Jimenez kuwa ni €100 (Pauni 91m), na mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Mexico Anawindwa na Manchester United msimu huu. Jarida la Uhispania …

Uchambuzi EPL: Wolves vs Liverpool

Daily News

Tuko kwenye raundi 10 za mwisho za msimu katika EPL ya 2020/21, wakati jedwali linaanza kuchukua sura yake ya mwisho. Gameweek 29 itafikia kileleni siku ya Jumatatu huko Molineux, ambapo …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino amesisitiza klabu yake na wachezaji hawajaonesha utovu wa nidhamu kwa kuzungumzia nia yao ya kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi. Dortmund wanafikiria …

Uchambuzi EPL: Wolves vs Arsenal.

Daily News

Leo katika EPL kuna mtanange utakao zikutanisha Wolves wakiwa katika dimba Molineux wakiwakaribisha Arsenal ambao wamekuwa na matokeo mazuri wiki za hivi karibuni wakiwa hawajapoteza katika michezo mitano mfululizo. Lakini …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Arsenal wanamtaka mshambuliaji wa Real Madrid Isco, 28, katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari litakapofunguliwa. Kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, ataamua wiki hii …

1 2 3