Real Madrid - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Real Madrid Yaendelea Kuandamwa na Majeraha

La Liga

Bundi anaendelea kuzunguka kwenye viunga vya Santiago Bernabeu ndio kauli ambayo unaweza kuitumia kwani klabu ya Real Madrid imekua ikiandamwa na majeraha kwa wachezaji wake haswa wachezaji waandamizi klabuni. Leo …

Real Madrid Mabingwa wa UEFA SuperCup

Daily News

Carlo Ancelotti anakiri Atalanta iliwafanya wateseke, ni kama kwenda kwa daktari wa meno, lakini Real Madrid walifanya kila waliloweza kuchukua UEFA Super Cup. Galacticos ndio waliopewa nafasi kubwa katika pambano …

Arda Guler Haondoki Real Madrid

La Liga

Klabu ya Real Madrid imeweka wazi kua haina mpango wa kumtoa kwa mkopo kinda wake raia wa kimataifa wa Uturuki mwenye kipaji kikubwa Arda Guler licha ya maombi ya vilabu …

Mbappe Atangazwa Rasmi Real Madrid

Daily News

Usajili wa Kylian Mbappe kwa Real Madrid Jumatatu usiku unaweza kusababisha suala la kiufundi kwa kocha wa Italia Carlo Ancelotti, kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport. Ingawa Real Madrid …

Rodrygo: Siondoki Real Madrid

La Liga

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Rodrygo Goes ameweka wazi kua hana mpango wa kutimka ndani ya klabu hiyo licha ya kuhusishwa kuondoka ndani ya timu hiyo. Baada ya kushinda …

Real Madrid kwa Davies Kwao

Bundesliga

Klabu ya Real Madrid unaweza ukasema kazi imebaki kwao tu kwa beki raia wa kimataifa wa Canada anayekipiga kwa mabingwa wa Ujerumani klabu ya Bayern Munich Alphonso Davies. Unaweza kusema …

Real Madrid Wanamvizia Trent

La Liga

Klabu ya Real Madrid wanaelezwa kuanza mawindo kwa beki wa kulia wa klabu ya Liverpool raia wa kimataifa wa Uingereza Tren Alexender Arnold ambaye mkataba wake uko mbioni kumalizika. Real …

1 2 3 4 153 154 155