Real Madrid Isco - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Isco Athibitisha Kusepa Real Madrid

Daily News

Kiungo wa Real Madrid Isco amethibitisha kwamba ataondoka Bernabeu kama mchezaji huru wakati wa dirisha hili la usajili na ilionekana anaweza kutimkia Uingereza ambako alikuwa akihusishwa na vilabu kama Chelsea, …

Isco Mwendo Mdundo Real Betis

La Liga

Kiungo wa zamani wa klabu ya Real Madrid Isco Alarcon anaendelea kuwasha moto ndani ya klabu yake ya sasa ya Real Betis inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania. Isco amekua na …

Isco Ajiunga na Real Betis

La Liga

Kiungo wa zamani wa klabu ya Real Madrid, Malaga, na Sevilla Isco Alarcon amefanikiwa kurudi uwanjani na kujiunga na klabu ya Real Betis kwa uhamisho huru. Kiungo Isco alijiunga na …

Arsenal Kupindua Meza kwa Isco

Daily News

Kiungo wa zamani wa klabu ya Real Madrid alievunja mkataba wake na klabu ya Sevilla Francesco Isco Alarcon ameiingiza Arsenal Vitani kwenye dirisha dogo. Kiungo huyo ambaye alijiunga na klabu …

Isco Atemana na Sevilla Rasmi

La Liga

Kiungo wa zamani wa klabu ya Real Madrid Isco Alarcon amevunja mkataba na mkataba na klabu yake ya Sevilla ambayo alikua anaitumikia tangu mwezi Agosti mwaka huu. Nyota huyo ambaye …

Isco Alarcon Anatambua Hatma Yake Real?

Daily News

Muda wa Isco Alarcon klabuni Real Madrid unaonekana kufika ukingoni wakati staa huyu akionekana kupoteza radha kwenye kikosi cha Real Madrid. Ripoti zinataja kuwa staa huyu tayari ameshafahamu hatma yake …

Bernabeu Mpya, Real Madrid Mpya

Daily News

Licha ya kumkosa Kylian Mbappe katika dirisha lililopita la usjaili Real Madrid haijakata tamaa bado wapo kwenye mipango ya kumleta Bernabeu mshambuliaji huyo wa Ufaransa ambaye mkataba wake na PSG …

1 2 3 4 5