Riyad Mahrez - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Riyad Mahrez Kuongezewa Mkataba City.

Daily News

Mabingwa watetezi wa EPL, Manchester City, wanapanga kumuongezea mkataba nyota wao – Riyad Mahrez. Mahrez alikuwa kwenye kiwango thabiti msimu uliopita akiisaidia timu hiyo kubeba ubingwa wa EPL sambamba na …

Mahrez Kutimkia Saudia Arabia

Daily News

Winga wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Algeria Riyad Mahrez amefanikiwa kufikia makubaliano na klabu ya Al Ahli kwajili ya kujiunga na timu hiyo. Manchester City …

Mahrez: Zinchenko ni Bora

News

Riyad Mahrez anaamini Oleksandr Zinchenko alikuwa miongoni mwa wachezaji watatu bora wa Manchester City kabla ya uhamisho wake kwenda Arsenal. Raia huyo wa Ukraine aliwasili Uwanja wa Etihad mwaka 2016 …

Mahrez Kusalia Man City Hadi 2025

Daily News

Kiungo nyota wa klabu ya Manchester City Riyad Mahrez amesaini kandarasi ya kubakia kwenye viunga vya klabu hiyo hadi mwaka 2025. Riyad Mahrez alisajiriwa na klabu ya Manchester City mwaka …

Mahrez na Laporte Wakutwa na Corona.

Daily News

Riyad Mahrez na Aymeric Laporte wote wamepima na kukutwa na virusi vya Corona klabu ya Manchester City yathibitisha. Klabu hiyo ya Premier League imesema kwamba wawili hao wameambukizwa COVID-19 ingawa …

1 2 3 4 5