Rodrygo - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Rodrygo: Siwezi Kwenda Saudia

La Liga

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Rodrygo Goes amesema hawezi kwenda kucheza ligi kuu ya Saudia maarufu kama Saudi Pro League. Rodrygo amesema hajapokea …

Ancelotti:Rodrygo Kaacha Uanafunzi.

Daily News

Rodrygo ni mshambuliaji mzuri, Carlo Ancelotti amemsifu mchezaji huyo baada ya kufunga bao kwenye mchezoo dhidi ya Betis. Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti alisema kuwa, mchezaji huyo mwenye umri …

Rodrygo Agoma Kufananishwa na Neymar.

Daily News

Kinda wa Brazil, Rodrygo amesema hataki kuwa “Neymar mpya” wakati akifafanua kulinganishwa kwake na nyota huyo wa Selecao. Rodrygo ni mmoja wa wachezaji wachanga wenye vipaji katika mpira wa miguu …

Camavinga Aongeza Mkataba Mpaka 2029

La Liga

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Eduardo Camavinga amefanikiwa kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia ndani ya klabu ya Real Madrid mpaka mwaka 2029. Eduardo …

Joselu:Natamani Kubaki Real Madrid

La Liga

Nyota wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania ambaye yupo kwa mkopo klabuni hapo akitokea klabu ya Espanyol Joselu amesema anatamani kusalia ndani ya klabu hiyo. …

1 2 3 4 5