Romagnoli - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Paris St-Germain wako tayari kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Msenegal Sadio Mane, 30, huku kukiwa na ripoti kwamba amekwama katika mkataba wake mpya. Mkataba wa sasa unaisha Juni …

Simon Kjaer Kukosa Msimu Mzima

Daily News

Mlinzi wa Ac Nilan Simon Kjaer atakuwa nje kwa msimu mzima baada ya kupata majeraha ya goti, kwenye mchezo ambao Ac Milan walishina goli 3-0 dhidi ya Genoa wiki hii, …

Simon Kjaer Apata Jeraha Milan!

Daily News

Mlinzi wa AC Milan Simon Kjaer amepata jearaha linalohofiwa kuwa kubwa. Jeraha lake linatajwa kuwa kiwango cha daraja la kwanza sehemu ya paja la kulia na huku akitazamia kufanyiwa vipimo …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amesema kuwa amempatia mchezaji nyota wa zamani wa klabu hiyo Mesut Ozil ,32, “nafasi nyingi” kadri ya uwezo wake kabla ya kumuacha nje …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Ajenti wa mchezaji wa Aston Villa Jack Grealish, 24, anasema kwamba kiungo huyo wa kati hajafikia makubaliano ya kujiunga na Manchester United huku klabu hiyo ikimwekea thamani ya Β£80m. Klabu …

Tetesi za Usajili

Daily News

Winga wa Manchester City Leroy Sane, 24, yupo karibu kutua Bayern Munich kwa dau Β£70m. Vilabu vya Premier League vitakutana Ijumaa kujadili kama msimu utamalizika kabla ya Juni 30. Kama …

Jumamosi: Milan vs Fiorentina

Football

Milan vs Fiorentina! AC Milan wanamkaribisha Fiorentina baada dimbani San Siro baada ya kufululiza gemu tatu bila ushindi kwa michuano yote. Watakuwa na njaa ya kuupata ushindi kwenye gemu hii …

Chelsea Watoa Ruhusa

Football

Klabu ya Chelsea imetoa ruhusa kwa klabu ya Derby ya kuchezesha wachezaji wote walio kwenye mkopo ambao ni pamoja na Mason Mount na Fikayo Tomori dhidi yao wakati wa mzunguko …

Yupi Mbabe, Sassuolo au Milan?

Football

AC milan wanatafuta kuokoa mwanzo wao mbaya wa msimu 2018-19 wa Serie A wakisafiri kuelekea Sassuolo, upande ambao unashikilia nafasi ya tatu kwenye ligi hiyo kwa sasa wakiwa wameshinda magoli …

1 2