Koemann: Luuk de Jong ni Hatari Kuliko Neymar
Kocha mkuu wa Barcelona Ronald Koemann amemuelezea mtaifa mwenzake Luuk de Jong katika hali fulani kwamba ni hatari zaidi kuliko hata Neymar. Barcelona ilimsajili De Jong katika siku za mwishoni …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Kocha mkuu wa Barcelona Ronald Koemann amemuelezea mtaifa mwenzake Luuk de Jong katika hali fulani kwamba ni hatari zaidi kuliko hata Neymar. Barcelona ilimsajili De Jong katika siku za mwishoni …
Barcelona wanarejea dimbani kuumana na Granada mchezo wa LaLiga wakiwa wametoka kwenye maumivu ya kipigo cha 3-0 kutoka Bayern Munich kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa. Timu hiyo ya Ronald …
Ronald Koemann amepokea taarifa njema siku ya Ijumaa kwamba Marc-Andre ter Stegen amerudi kwenye mazoezi na wachezaji wa Barcelona baada ya kukamilisha utaratibu wa matibabu kufuatia kufanyiwa upasuaji alifanyiwa mwisho …
Tetesi zinasema, Barcelona ina matumaini ya kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa na Man United Paul Pogba katika uhamisho wa bila malipo msimu ujao iwapo mchezaji huyo mwenye umri …