Ryan Garcia - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Fortuna Apania Kumchapa kwa KO Ryan Garcia

Boxing

Bondia Javier Fortuna amelezea kiu yake ya kutaka kumlambisha sakafu bondia machachari Ryan Garcia katika pambano lao lijalo ambalo limepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Crypto.com Arena huko …

Ryan Garcia Anamtaka Kambosos Pambano Lijalo

Boxing

Ryan Garcia alijitokeza Jumamosi iliyopita usiku kwenye mitandao ya kijamii akisema anataka kurejea ulingoni na anamtka George Kambosos Jr baada ya kumtazama akimchapa Teofimo Lopez. Baada ya kuwakatisha tamaa mashabiki …

Canelo: Ryan Garcia Anapoteza Kipaji Chake

Boxing

SaΓΊl Canelo Alvarez alidokeza Alhamisi hii kwamba mshirika wake wa gym, Ryan GarcΓ­a, hajazingatia kikamilifu na hana nidhamu katika mazoezi yake kwenye gym. “Kwa macho yangu, anapoteza muda mwingi na …

Ryan Garcia: Bado Ningemdunda Davis kwa KO.

Boxing

Ryan Garcia alijitokeza siku ya Alhamisi kuzungumza takataka kidogo juu ya Gervonta β€˜Tank’ Davis, mpiganaji ambaye alikuwa ameuambia ulimwengu wa ndondi kwamba anakwenda kupigana kabla ya kuvinjika kwa matumaini ya …

Ryan Garcia Ataka Pambano na Pacquiao.

Boxing

Ryan ‘Kingry’ Garcia anasema anataka kupigana na Manny Pacquiao baada ya kumpiga Gervonta ‘Tank’ Davis mwaka huu. Ingawa Garcia mwenye rekodi ya (21-0, 18 KO) anasema anamheshimu bingwa wa zamani …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United bado wanaendeleza juhudi za kumnasa mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 27. Tetesi zinasema, Arsenal wanajipanga kumsajili mshambuliaji Mfaransa Moussa Dembele. Mchezaji huyo mwenye …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema Arsenal imerejesha nia yao tena kwa mshambuliaji wa Crystal Palace Wilfried Zaha, 28. Manchester City wanalenga kukubaliana kuingia mkataba mpya na washambuliaji wa England Phil Foden,20, na …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Chelsea inataka kuingiza pauni milioni 65 kwa kuwauza wachezaji wake ili kupata fedha za kumnasa mchezaji wa nafasi ya ulinzi anayekipiga West Ham Declan Rice. Wakati huo huo …