Sergio Aguero - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Sergio Aguero Astaafu Soka.

Daily News

Rasmi, Sergio Aguero atangaza kustaafu soka kwa sababu za kiafya. Hii ni baada ya kuitumikia Barcelona kwa miezi 6 tu. Aguero alijiunga na Barcelona baada ya kumaliza mkataba wake na …

Sergio Aguero Sasa Anafikiria Kustaafu?

Daily News

Nyota wa Barcelona, Sergio Aguero ameripotiwakuwa sasa anapanga kustaafu soka la kulipwa baada ya kugunduliwa kuwa ana tatizo la moyo. Nyota huyu alilazimika kupelekwa hospitali wakati wa mechi dhidi ya …

Sergio Aguero Kurudi Mwezi 10

Daily News

Sergio Aguero anatarajia kurudi tena uwanjani mwisho wa mwezi wa kumi katika mechi amabayo  Barcelona itamenyana na Rayo Vallecano oktoba 27 na akiikosa mechi ya mahasimu wao Real Madrid oktoba …

Gracias Sergio Kun Aguero

Champions League

Tarehe 28 July 2011, Manchester City ilitangaza kumsajili Sergio Aguero kutoka Atletico Madrid. Aguero akiwa Atletico Madrid msimu wake wa Mwisho alifunga magoli 20. Leo baada ya misimu 10 Kun …

Aguero, Drogba Waingia PL Hall of Fame.

Daily News

  Wachezaji Sergio Aguero, Didier Drogba, Vincent Kompany, Peter Schmeichel, Paul Scholes na Ian Wright wameingia kwenye Premier League Hall of Fame. Kujumuishwa kwa wachezaji hao sita kunamaanisha kuwa wachezaji …

1 2 3 4 8 9 10