Ahmed Ally: Hakuna Njia Ahly Kuepuka Kipigo cha Simba SC
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa mpango mkubwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ni kupata ushindi Kwa nguvu ya namna yoyote ile. Beti …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa mpango mkubwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ni kupata ushindi Kwa nguvu ya namna yoyote ile. Beti …
KATIKA mechi tatu ambazo ni dakika 270 Simba SC imeruhusu jumla ya mabao manne ikikwama kuondoka na clean sheet katika mechi hizo. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo …
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wanafikiria kuachana na kiungo wao Luis Miquissone ambaye alijiunga na timu hiyo kwa mara nyingine akitokea Al Ahly ya Misri kutokana na kutokuwa chaguo la …
INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba umemalizana na winga wa mabao ndani ya Mtibwa Sugar, Ladack Chasambi. Kijana mwenye umri wa miaka 19 ambaye ana uwezo wa kucheza winga pamoja na …
BAADA ya mastaa wa Simba kuyeyusha dakika 450 katika mechi tano za ushindani bila kushinda wanawafuata Kagera Sugar wakiwa wanabebwa na mambo makubwa matatu wanayoamini yatawapa ushindi. Ipo wazi kuwa …
BAADA ya uongozi wa Simba kuwa kwenye mjadala mzito juu ya kupata meneja mpya wa klabu hiyo, hatimaye Kocha Mkuu wa klabu hiyo raia wa Brazil, Roberto Olivier ‘ Robertinho’, …
Kipa aliyepewa mkono wa kwaheri pale mitaa ya Simba SC, Beno Kakolanya amesema kuna faida kubwa kwa klabu hiyo, kuwa na straika Moses Phiri raia wa Zambia kutokana na ubora …
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utafanyia kazi mapendekezo ya benchi la ufundi kwenye upande wa usajili ili kuongeza wachezaji imara ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao. Tembelea duka …
INAELEZWA kuwa Klabu ya Simba ya Tanzania imefikia makubaliano ya kuinasa saini ya winga anayekipiga Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda Leandre Essomba Willy Onana. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika …
BAADA ya kuachana na winga wao wa kimataifa wa Ghana, Augustine Okrah, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amechimba mkwara mzito kuwa wapo kwenye mipango ya kushusha …
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini timu hiyo itakuwa kwenye mwendo mzuri msimu ujao ikiwa itapata wachezaji wenye ubora kila idara. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa …
BEKI wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba ambaye amekuwa nje ya uwanja kwa muda Mohamed Ouattara hatimaye ameanza mazoezi. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi …
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo dhidi ya Ihefu kimetoka lakini habari ya kushangaza zaidi ni kukosekana kwa wachezaji tegemezi wa kikosi cha kwanza. Wachezaji hao ni Clatous Chama, …
Klabu ya Simba ambayo inaongozwa na kocha mkuu Robertinho imepokea kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Raja Casablanca kwenye mchezo wao wa marudiano hapo jana. Mchezo huo ulipigwa majira …
Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake na aina ya wachezaji ilionao, kwa kuingiza mara mbili wachezaji wanne kwenye kikosi cha wiki cha michuano ya klabu bingwa Afrika CAFCL. Odds …
BAADA ya sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa jana kati ya Simba SC na Azam FC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Mashabiki wa Simba SC wameutupia lawama uongozi wa …
KLABU ya Simba SC Imerejea Tanzania ikitokea Dubai ilipoweka kambi ya wiki moja baada ya kuondoshwa kwenye Kombe la Mapinduzi na Mlandege FC ambao walifanikiwa kuwa mabingwa wa mashindano hayo. …
Baada ya kufanya mazoezi na kikosi cha Simba SC kwa siku tatu katika kambi nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine ambaye ni hatari. Pata …
IKIWA Zimebaki siku kadhaa 33 Simba SC kucheza mchezo wake wa kwanza wa klabu bingwa akianzia ugenini dhidi ya Horoya AC ya Guinea Februari 10, 2023 Bashiri na Meridianbet mechi …
Wekundu wa Msimbazi- Simba SC wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa mashindano ya Kombe la Mapinduzi huko kwenye visiwa vya marashi na karafuu- Zanzibar na hivyo kufanya kuvuliwa ubingwa wao …