Super League - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

CAF SUPER LEAGUE KUANZA OKTOBA

SOKA LA BONGO

Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe amethibitisha kuwa michuano ya African Super League itaanza kutimua vumbi mwezi Oktoba mwaka huu na kuongeza kwamba kutakuwa na jina …

Rais CAF Ataja Sababu za Kuanzisha Super League

CAF

Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika, Patrice Motsepe ametangaza kuanzishwa kwa mashindano mapya ya vilabu Afrika yatakayo julikana kama “CAF Super League” alipokuwa akizungumza katika mkutano mkuu …

CAF: African Super League Kupigwa Mwakani

CAF

Historia mpya ya soka Afrika imeandikwa jana kwenye ardhi ya Tanzania jijini Arusha, kufuatia kutangazwa rasmi kwa mashindano ya maalum ya African Super League ambayo yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi …

Mazungumzo Mapya Kuirejesha Super League!

Daily News

Real Madrid, Barcelona na Juventus wameripotiwa kufanya mazungumzo mapya kuhusu kufufua European Super League, ikiwa ni miezi minane tangia pendekezo hilo kuzinduliwa. Mradi huo ulitangazwa kwa mara ya kwanza Aprili …

Super League Yapingwa na FIFA, UEFA.

Champions League

  Leo (Jana) vilabu 12 vya mpira wa miguu vimetangaza kwa pamoja kujiunga na mashindano mapya ya Super League. AC Milan, Arsenal, Atlético, Chelsea, Barcelona, ​​Internazionale, Juventus, Liverpool, Manchester City, …

1 2 3 4 12 13 14