Ten Hag - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Ten Hag Akanusha Rashford Kutimka

Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amekanusha taarifa za mshambuliaji wake klabuni hapo Marcus Rashford kuhusishwa na mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa klabu ya PSG. Kumekua na tetesi …

Potter Kumrithi Ten Hag

Daily News

Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea na Brighton Hove and Albion Graham Potter anatajwa kama mbadala wa kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ambaye anaonekana kua …

Ten Hag Ataka Kikosi Kipana

Daily News

Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag ameweka wazi kua anahitaji kikosi kipana na chenye ubora ili kuweza kupata matokeo bora mfululizo kipindi hichi ambacho klabu hiyo inapata matokeo yasiyoridhisha. …

Ten Hag: Wachezaji Wananisapoti

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema wachezaji wa klabu hiyo wanamsapoti na wapo nyuma yake na sio kama ambavyo inaelezwa wachezaji hawamkubali tena. Kocha Ten Hag …

Ten Hag Yupo Kikaangoni

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag anaelezwa yupo kwenye kikaango ndani ya klabu hiyo kutokana na mwendendo wa timu hiyo kwasasa. Ten Hag ambaye anaiongoza klabu ya …

Ten Hag: Hatuna Tofauti na Varane

Daily News

Kcha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag ameweka wazi mahusiano baina yake na beki wa kimataifa wa Ufaransa Raphael Varane ambaye anakipiga ndani ya klabu hiyo. Ten Hag …

Ten Hag: Tutarudi Kwenye Ubora Wetu

Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesema kua watarejea kwenye ubora wao licha ya mfululizo wa matokeo mabaya ambayo wameyapata hivi karibuni. Ten Hag anaamini ni suala …

1 2 3 4 185 186 187