Thomas Muller - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Muller: Tulishtushwa Sabitzer Kuondoka

Bundesliga

Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Thomas Muller amesema kuondoka kwa kiungo wa klabu hiyo Marcel Sabitzer aliyeelekea Manchester United ilikua taarifa ya kushtua …

Muller Tumestahili Kupoteza

World Cup 2022

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ujerumani Thomas Muller amezungumza kua wamestahili kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Japan siku ya leo katika mchezo wao wa kwanza wa kundi …

Muller na Kimmich Wapata COVID-19

Daily News

Wachezaji wa Bayern Munich Thomas Muller na Joshua Kimmich wamejitenga baada ya kupimwa na kukutwa na virusi vya Corona.   Taarifa hizo zilitoka baada ya ushindi wao walioupata hapo juzi …

Muller: Bayern Lazima Tujiangalie

News

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Bayern Munich Thomas Muller amesema kuwa Bayern lazima wajiangalie ikiwa wanataka kutetea ubingwa wa Bundesliga baada ya kulazimishwa sare ya tatu mfululizo   Leo nina …

Muller Amtaka Boateng Kusalia Bayern.

Daily News

Thomas Muller amesema anataka kuona Jerome Boateng akiendelea kukaa Bayern Munich kwa hiyo anaweza kumlinda mchezaji huyo kwa muda wakiwa uwanja. Boateng tayari ameingia kwenye miezi sita ya mwisho katika …

Muller Asaini Kandarasi hadi 2023

Bundesliga

Bayern Munich imethibitisha kuongeza mkataba wa Thomas Muller hadi 2023. Mjerumani huyo mwenye medali ya Kombe la Dunia ni moja ya wachezaji waliokuwa kwenye mazungumzo kuhusu kuongeza mkataba, na kwasasa …

1 2 3