Timo Werner - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Ukatili wa Mjerumani Timo Werner.

Daily News

Timo Werner ni mshambuliaji wa hadhi ya juu, magoli ya kikatili sana kwenye mazingira katili sana lakini alifanya kitu. tulizoea kumuona Didier Drogba Yves Tebily akifanya vile, anatembea na mpira …

Rasmi – Timo Werner Kutua Chelsea

Bundesliga

  Chelsea wamethibitisha kuwa wamefikia makubaliano na klabu ya RB Leipzig juu ya uhamisho wa mshambuliaji Timo Werner. Werner amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya €170,000 kwa wiki, …

Timo Werner ni Gharama kwa Liverpool?

Daily News

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ameelezea kwa nini Liverpool waliamua kujitoa kwenye mbio za kuwania saini ya nyota Timo Werner. Mshambuliaji huyu wa RB Leipzig anamezewa mate pale Anfield. Liverpool …

Timo Werner Aweka Hat-Trick

Bundesliga

Timo Werner amefunga goli lake la kwanza tangu Bundesliga irejee ikiwa miezi miwili kutoka ligi hiyo iliposimama kwasababu ya Corona wakati RB Leipzig ikiminyana na Mainz. Timo, 24, alifunga hat-trick …

Werner Kukikosa Kombe la Dunia

Bundesliga

Mshambuliaji wa RB Leipzig na timu ya Taifa ya Ujerumani Timo Werner, atakosekana kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka huu kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu. …

Tuchel Amekaza, Hasepi Werner Wala Ziyechi!

News

Meneja wa Chelsea Thomas Tuchel ameripotiwa kuweka msimamo kwamba sio Timo Werner wala Hakim Ziyech atakuwa anaondoka Stamford Bridge wakati wa dirisha la usajili la mwezi Januari. Barcelona wamehusishwa zaidi …

1 2 3 4 7 8 9