Tottenham - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tottenham Yamvizia Solanke

Daily News

Klabu ya Tottenham inaelezwa kufukuzia saini ya mshambuliaji wa klabu Bournamouth Dominik Solanke raia wa kimataifa wa Uingereza ambaye anafasnya vizuri kwasasa. Tottenham wanatafuta mshambuliaji ambaye ataweza kusaidiana na Richarlison …

Tottenham na Ndombele Wafika Mwisho

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imefikia uamuzi wa kumvunjia mkataba kiungo wake raia wa kimataifa wa Ufaransa Tanquy Ndombele kwa makubaliano ya pande zote mbili. Tottenham wanaachana na Ndombele baaada ya …

Tottenham Kuachana na Lo Celso

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imepanga kuachana na kiungo wake raia wa kimataifa wa Argentina Giovani Lo Celso akiwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja kwenye mkabata wake klabuni hapo. Tottenham hawana …

Tottenham Yapigwa na Kitu Kizito

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs imekutana na kitu kizito baada ya kuambulia kipigo cha mabao manne kwa bila mbele ya klabu ya Newcastle katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza. Mchezo …

Tottenham Kukipiga na Burnley Leo

Daily News

Klabu ya Tottenham leo itashuka dimbani katika mchezo wa kombe la Fa raundi ya tatu dhidi ya vijana wa Vicent Kompany klabu ya Burnley ambapo Spurs watakua katika dimba lao …

Tottenham Kusajili Beki wa Kati Januari

Daily News

Klabu ya Tottenham Hotspurs inaelezwa itaingia sokoni mwezi Januari mwakani kwajili ya kutafuta beki wa katikati ambaye atakuja kuongeza nguvu kwenye kikosi cha timu hiyo. Kocha Ange Postecoglou leo akiongea …

1 2 3 4 102 103 104