US Open - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Rafael Nadal:Akiri Kushindwa Us Open.

News

Rafael Nadal gwiji wa mchezo wa tenesi duniani na mwanatenesi anayeongoza kwa mataji makubwa ya tenesi maarufu kama Grand Slams amekubali kua alizidiwa kwenye michuano ya wazi ya Marekani. Gwiji …

US Open: Medvedev Bingwa 2021.

Tennis

Ilikua ni kama ndoto ambayo sasa ni uhalisia, Daniil Medvedev atwaa ubingwa wa US Open 2021 mbele ya Novak Djokovic. Pengine hakuna aliyemdhania Medvedev kwenye mchezo wa fainali, lakini lolote …

Raducanu Atwaa New York US Open.

Daily News

  Mcheza Tennis, Emma Raducanu ameweka historia kwa kuwa mshindi wa kwanza wa kike wa Britain kushinda fainali tangu Virginia Wade aliyeshinda Wimbledon mnamo 1977.   mchezaji huyo huyo wa …

US Open Final: Raducanu vs Fernandez

Tennis

Ni ukweli usiopingika, unaposikia mchezo wa tenesi, unafikiria majina kama Naomi Osaka na Serena Williams. Safari hii, fainali ya US Open imekuja na majina mapya! Wakati dunia ikiendelea kutafuta suluhisho …

US Open: Medvedev Atinga Nusu Fainali

Tennis

Baada ya kupoteza mchezo wa fainali ya US Open 2019, hii ni nafasi kwa Daniil Medvedev kurekebisha makosa na kunyanyua kombe, itawezekana? Medvedev alitinga fainali yake ya kwanza ya Grand …

US Open: Djokovic Chupuchupu Kutolewa.

Tennis

Ni muendelezo wa michezo ya tenesi kunako kalenda ya mwaka 2021, safari hii, US Open inaendelea kuunguruma kule Marekani. Mambo ni moto viwanjani. Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (wanaume), …

US Open: Murray, Djokovic Ndani ya Nyumba!

Tennis

Kuelekea moja ya mashindano makubwa kwenye ulimwengu wa tenesi. Djokovic na Murray kushiriki mashindano ya US Open. Andy Murray anapata nafasi ya kuingia kwenye mashindano haya baada ya Stan Wawrinka …

US Open 2020: Thiem na Osaka Mabingwa

Tennis

Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. US Open 2020 imemalizika kwa namna ya kipekee, michezo ya fainali ilikuwa na burudani ya aina yake. Thiem na Osaka mabingwa wapya wa Mashindano haya. Kwa …

Zverev Afuzu Fainali ya US Open 2020

Tennis

Mjerumani Alexander Zverev kwa mara ya kwanza amefuzu fainali ya Grand Slam kwenye Mashindano ya US Open. Mchezo wa nusu fainali ulimkutanisha Alexander dhidi ya Mhispania Pablo Carreno Busta. Busta …

Serena Williams Atolewa US Open 2020

Tennis

Bingwa mara 6 wa Mashindano ya US Open – Serena Williams, ameyaaga mashindano hayo baada ya kutolewa katika hatua ya nusu fainali. Katika mchezo uliowakutanisha wakongwe wawili wa mchezo wa …

Djokovic Aomba Radhi US Open

Tennis

Mchezaji nyota wa tenisi – Novak Djokovic alijikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kuvumilia hasira zake na kumdhuru msimamizi wa mchezo. Kitendo hicho kilitokea wakati Novak akiwa uwanjani kupambana …

US Open 2020 Inamatokeo ya Kushitua

Tennis

Mashindano ya US Open 2020 yanaendelea kutoa matokeo ya kushitua kwa baadhi ya wachezaji kuangukia pua wakati wengine wakiendelea kusonga mbele. Sio wachezaji nyota, sio chipukizi, mashindano ya mwaka huu …

US Open 2020: Osaka na Gjokovic Wasongambele.

Tennis

Michezo ya US Open 2020 inaendelea kutimua vumbi nchini Marekani. Baadhi ya wachezaji wanaendelea kusonga mbele wakati ambapo wengine wanayaaga mashindano hayo. Naomi Osaka alikuwa uwanjani kupambana na Marta Kostyuk …

US Open 2020: Serena Williams Hafungiki!

Tennis

Bingwa mara 6 – Serena Williams anaendelea kuwaliza wapinzani wake katika Mashindano ya US Open 2020. Margarita Gasparyan alihakikisha Serena Williams anakuwa na wakati mgumu japokuwa alishinda kwa seti 6-2 …

US Open 2020: Ni Vilio na Vicheko

News

Mashindano ya US Open 2020 yanaendelea kupamba moto. Wakati baadhi ya wachezaji wakifurahia kusonga mbele, wengine wanalia kwa kutolewa katika hatua za mwanzoni kabisa. Matokeo ya michezo kunako US Open …

1 2 3 4 424 425 426