Uholanzi Louis van Gaal - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Louis Van Gaal Kuionoa Uholanzi

Daily News

Shirikisho la soka nchini Uholanzi, limethibitisha kocha Louis Van Gaal atakuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa hilo kwa mara nyingine. Van Gaal anarejea tena kwenye nafasi hiyo kwa mara …

Messi Amkosoa Van Gaal

World Cup 2022

Staa na nahodha wa timu ya taifa ya Argentina anayekipiga katika klabu ya PSG Lionel Messi amemkosoa kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi kutokana na mbinu alizotumia katika mchezo …

Wenger Amsifu Van Gaal

World Cup 2022

Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger ambae kwasasa ni kiungozi wa jopo la utafiti ndani ya Fifa amemsifu kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis Van …

Koeman Kumrithi Van Gaal.

World Cup 2022

Kwa mara ya pili, Ronald Koeman atarejea kwenye nafasi ya kuiongoza timu ya Taifa ya Uholanzi kama kocha mkuu. Koeman atachukua nafasi hiyo kuanzia mwezi Januari baada ya mashindano ya …

1 2