Manchester United Vs Spurs Battle ya Vibonde
Kutoka kua mchezo wenye mvuto na ushindani mkubwa mpaka sasa umegeuka kua mchezo ambao unazikutanisha timu zilizopo kwenye nafasi za chini kwenye msimu wa ligi kuu ya Uingereza ni Manchester …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Kutoka kua mchezo wenye mvuto na ushindani mkubwa mpaka sasa umegeuka kua mchezo ambao unazikutanisha timu zilizopo kwenye nafasi za chini kwenye msimu wa ligi kuu ya Uingereza ni Manchester …
Napoli inaripotiwa kuwa imeanza mazungumzo ya kumsajili winga wa Bologna, Dan Ndoye, huku Manchester United wakikataa ofa ya ufunguzi ya €40m kwa ajili ya Alejandro Garnacho. Winga wa Bologna, Ndoye, …
Marcus Rashford bado anatafakari kuhusu chaguo lake baada ya mkutano kati ya Milan na Manchester United mapema wiki hii, lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza anatarajiwa kutoa neno kuhusu …
Klabu ya Manchester United baada ya kuachana na mkurugenzi wake wa michezo raia wa kimataifa wa Uingereza Dan Ashowrth inaelezwa kwasasa wanamfukuzia mkurugenzi wa michezo wa Atletico Madrid ya nchini …
Ripoti kutoka Italia zinadokeza kwamba Juventus huenda ikatafuta kumuuza mchezaji wao mpya wa majira ya kiangazi, Douglas Luiz, kwa Manchester United mwezi Januari, jambo ambalo pia linaweza kusaidia Bianconeri katika …
Manchester United ya asali na maziwa imerejea ndio kauli pekee unaweza kuitumia kwasasa ambapo klabu hiyo leo imetimiza mchezo wake saba bila kupoteza kwenye michuano yote baada ya kuibamiza Everton …
Beki wa kushoto wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uingereza Luke Shaw amefanikiwa kurejea kwenye kikosi cha klabu hiyo baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda …
Kocha mpya wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Ureno Ruben Amorim (39) ameweka wazi chaguo lake ilikua kujiunga na klabu hiyo mbali na kuhitajika na vilabu kadhaa …
Klabu ya Man United imefanikiwa kumalizana na kocha wa kimataifa wa Ureno Ruben Amorim ambaye alikua anaifundisha klabu ya Sporting CP mabingwa wa ligi kuu nchini Ureno ambapo atakua klabuni …
Manchester United katika mchezo wa kombe la Carabao Cup wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao matano kwa mawili dhidi ya klabu ya Leicester City ikiwa ni mchezo wa kwanza wa kocha …
Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba ameweka wazi hana matamanio ya kurejea ndani ya klabu hiyo siku moja baada ya kutimka …
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mazungumzo na kiungo wake kinda mwenye umri wa miaka (19) Kobbie Mainoo raia wa kimataifa wa Uingereza ambaye anafanya vizuri ndani ya klabu hiyo …
Mabosi wa klabu ya Manchester United wameendelea na vikao kwa siku ya pili mfululizo wakijadili hatma ya kocha wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uholanzi Erik Ten Hag ambaye …
Bruno Fernandes alipewa kadi nyekundu huku Tottenham ikiizidi nguvu Manchester United kwa ushindi wa 3-0 na kuongeza shinikizo kwa kocha Erik ten Hag. Mchezo wa jana kwenye Uwanja wa Old …
Kinda wa zamani wa klabu ya Arsenal Chido Obi Martin sasa ni mchezaji rasmi wa klabu ya Manchester United baada ya usajili wake kukamilika kupitia bodi ya ligi kuu ya …
Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer na gwiji wa klabu hiyo amefunguka kua yupo tayari kurejea ndani ya klabu hiyo kama atatakiwa kufanya hivo na …
Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag bado haeleweki na timu yake kwani bado anaonekana kusuasua kwenye kupata matokeo ndani ya timu hiyo na hii imekuja baada ya …
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United Joshua Zirkzee amesema kilichomvutia kujiunga na klabu hiyo ni klabu yenyewe na sio tamaa yake ya kucheza ligi kuu ya Uingereza kama taarifa …
Kulingana na ripoti za hivi karibuni, Galatasaray wanasaka beki mpya wa kushoto kabla ya kufungwa kwa dirisha la uhamisho nchini Uturuki, na wanafikiria kumnunua mshindi wa EURO 2020 na beki …
Klabu ya Manchester United inaelezwa ina mpango wa kumsajili kiungo wa zamani wa klabu ya Juventus raia wa kimataifa wa Ufaransa Andrien Rabiot kwa mipango ya muda mfupi kwa dili …