Uruguay - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Ghana na Uruguay Wote Nje

World Cup 2022

Timu ya taifa ya Ghana na Uruguay ambazo zimecheza pamoja katika mchezo wa mwisho wa kundi H jioni ya leo wamejikuta wote wakiwa nje ya michuano ya kombe la dunia. …

Tabarez Ataiongoza Vyema Uruguay?

Football

Kocha mkuu wa taifa la Uruguay, Oscar Tabarez anakiongoza kikosi chake leo ikiwa ni baada ya kampeni ya mwisho ya Uruguay kwenye Kombe la Dunia iliyoshuhudiwa Suarez akimng’ata Giorgio Chiellini! …

Araujo Arejea Mazoezini Barca

La Liga

Beki wa klabu ya Fc Barcelona raia wa kimataifa wa Uruguay Ronald Araujo inaelezwa amerejea mazoezini baada ya kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu yaliyomuweka nje kuanzia mwezi wa saba …

Ugarte Kujiunga Man United Jumla sasa

Daily News

Kiungo wa klabu ya PSG raia wa kimataifa wa Uruguay Manuel Ugarte anatarajiwa kujiunga na klabu ya Manchester United kwa uhamisho wa kudumu kwasasa tofauti na ilivyokua mwanzo. Taarifa zilieleza …

1 2 3 4 12 13 14