Lucas Vazquez Anaendelea Kukiwasha Katika Mazoezi
Lucas Vazquez alirejea mazoezini na Real Madrid siku ya Jumatatu, baada ya siku 100 tangu apate jeraha la goti alipata El Clasico huko Estadio Alfredo Di Stefano. Los Blancos iliwafunga …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Lucas Vazquez alirejea mazoezini na Real Madrid siku ya Jumatatu, baada ya siku 100 tangu apate jeraha la goti alipata El Clasico huko Estadio Alfredo Di Stefano. Los Blancos iliwafunga …
Lucas Vazquez amesaini mkataba wa miaka mitatu na Real Madrid na mhispania huyo amesema kwamba atakuwa na nafasi ya kuongeza historia ndani ya klabu hiyo. Baada ya kumwaga wino kwenye …
Milan wanaripotiwa kuwa tayari wameanza kufanya mazungumzo ya kumsajili winga wa Madrid Lucas Vazquez kama mchezaji huru. Klabu hii inakumbana na upinzani wa kuiwania saini hiyo kutoka kwa vilabu vya …
Manchester United na Chelsea zimeonyesha nia ya kumsajili winga wa Real Madrid, Lucas Vazquez ambaye hajaongeza mkataba mpaka sasa na klabu hiyo. Klabu hizo mbili za ligi kuu ya …
Winga wa Real Madrid, Lucas Vazquez ameibuka kuwa tamanio kubwa ka klabu ya Manchester United, akitajwa kuwa katika rada za uhamisho za klabu hiyo. Vazquez amejikuta akiwa ziada kwenye kikosi …
Zinedine Zidane amesema kwamba Lucas Vasquez “Ana Real Madrid ndani ya moyo wake” na anastahili kupewa ofa ya mkataba mpya na klabu. Mchezaji huyo wa Spain ameanza katika michezo saba …
Beki wa kulia wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Hispania Dani Carvajal anatarajiwa kuukosa mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa wa klabu hiyo ambao watacheza kesho …
Karim Benzema na Thibaut Courtois wameachwa nje ya kikosi cha Real Madrid kitakachoshiriki nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu Jumatano dhidi ya Al Ahly. Nahodha wa timu …
Real Madrid imevunja rekodi ya kufikisha mechi 4,435 kwa kuanzisha kikosi cha kwanza bila ya kuwepo wachezaji kutoka nchi ya Hispania kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo, …
Golikipa wa Real Madrid Thibaut Courtois ameonyesha kusikitishwa kwake na Real Madrid hasa kwa upande wa walinzi wa timu hiyo kwa kuruhusu mabao mengi kwa urahisi kabisa na kusababisha kupoteza …
Mabingwa wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Real Madrid wameshatua kwenye jiji la Paris ndani ya uwanja wa ndege Charles de Gaulle international airport mishale ya saa 18:00 kwa …
Tetesi zinasema, Arsenal bado wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Uhispania Alvaro Morata, 29, ambaye yuko kwa mkopo Juventus kutoka Atletico Madrid. Tetesi zinasema, Kocha wa Manchester City Pep …
Nyota wa Real Madrid, David Alaba, yuko mbioni kukosa mechi yao ya fainali ya Supercopa ya Uhispania dhidi ya Athletic Club. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Austria aliikosa gemu ya …
Barcelona na Real Madrid wanajiandaa kumenyena katika nusu ya fainali ya Spanish Super Cup ndani ya dimba la King Fahd Stadium ambapo mshindi wa leo atakutana na kati ya Athletic …
Carlo Ancelotti amefunguka juu ya Eden Hazard kufuatia kukosekana dimbani kwa Mbelgiji huyo hivi karibuni. Hazard aliwekwa benchi kwa dakika 90 wakati Real Madrid walipopata ushindi dhidi ya Shakhtar Donetsk …
Licha ya kumkosa Kylian Mbappe katika dirisha lililopita la usjaili Real Madrid haijakata tamaa bado wapo kwenye mipango ya kumleta Bernabeu mshambuliaji huyo wa Ufaransa ambaye mkataba wake na PSG …
David Alaba ameanza kuonesha umuhimu wake huko Real Madrid ilikuwa haina mtu anayesimamia jukumu la kupiga freekick kwenye kikosi, kwa hivyo kuna chaguzi kadhaa wakati wa kupiga freekick katika msimu …
Wawakilishi wa Raphael Varane wanatarajia kukutana na Manchester United wiki hii kwa tuamini la kukamilisha uhamisho wake kwenda Paremier League. Beki huyo wa kati, ambaye kandarasi yake inaisha miezi 12 …
Zikiwa zimepita saa 72 toka Zinedine Zidane ajiuzuru kama kocha wa Madrid, sasa ni rasmi Madrid wamemtangaza Carlo Ancelotti kurudi katika timu hiyo na amesaini kandarasi ya kuhudumu mpaka 2024. …
Bosi wa Liverpool Jurgen Klopp amesema timu yake itapaswa kucheza kwa uwezo wao wote ili kuhakikisha wanapindua matokeo ya 3-1 dhidi ya Real Madrid katika Champions League siku ya Jumatano …