Wilder - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Usyk Kupigana na Deontay Wilder

News

Usyk:Kufuatia ushindi wake dhidi ya Anthony Joshua, pambano la pili la Oleksandr Usyk ni dhidi ya Deontay Wilder na promota Eddie Hearn anadhani Mukreini huyo atashinda kwa raha. Haijapita muda …

Wilder: Nipo Imara Kumkabili Fury

Boxing

Deontay Wilder amesema kwamba yupo sawa kumkabili mpinzani wake Tyson Fury na adai kwamba sasa hivi ameimarika tangu alipopigwa katika pambano lao la pili na Mmarekani safari hii anataka kulipa …

Fury Awapiga Mkwara Joshua na Wilder

Daily News

Bondia wa Uingereza Tyson Fury amewambia Deontay Wilder na Anthony Joshua kwamba wasahau kuhusu kuvunja rekodi yake ya kutopigwa. Bingwa huyo wa miaka 33 wa WBC ambaye amezichapa mara mbili …

COVID-19 Changamoto kwa Fury vs Wilder

Boxing

Huenda pambano la 3 kati ya Tyson Fury na Deontay Wilder likaingia doa. Hii ni baada ya kuripotiwa maambukizi ya Covid-19 kati yao. Imeripotiwa kuwa, kituo cha mazoezi (gym) anachokitumia …

Wilder Aingilia Kati Pambano la Fury vs AJ

Boxing

Kuelekea August 14, 2021. Deontay Wilder ameingia kwenye mpango wa pambano la Tyson Fury vs Anthony Joshua (AJ), mashaka yaibuka kuelekea pambano la “All British”. Imeripotiwa kuwa, Fury ameelekezwa kupambana …

Fury: Nilisha Funga Ukurasa kwa Wilder.

Boxing

Tyson Fury amesema kwamba tayari alishamalizana na hasimu wake bingwa wa zamani wa WBC Deontay Wilder baada ya kumpiga mara mbili. Amesema alikubaliana na seven dates kwaajili ya pambano lao …

Deontay Wilder Amjibu Mark Breland.

Boxing

Deontay Wilder alijitokeza siku ya Jumapili akielezea kutamauka kwake kwa kile anachohisi ni usaliti uliyofanywa na mkufunzi wake wa zamani Mark Breland baada ya kumsikia juu ya mahojiano yake wikendi …

1 2 3 4 5