Coco Gauff Alia Baada ya Kutolewa Mapema Wimbledon
Gauff, mwanatenisi wa Marekani na bingwa wa French Open, alijikuta akilia kwa uchungu baada ya kutolewa katika raundi ya kwanza ya michuano ya Wimbledon siku ya Jumanne. Gauff, ambaye aliingia …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Gauff, mwanatenisi wa Marekani na bingwa wa French Open, alijikuta akilia kwa uchungu baada ya kutolewa katika raundi ya kwanza ya michuano ya Wimbledon siku ya Jumanne. Gauff, ambaye aliingia …
Djokovic amewashukuru madaktari kwa “vidonge vya miujiza” baada ya kumsaidia kuepukana na hali ya kutokujisikia vizuri mchezoni hali iliyopelekea kupoteza seti moja, kwenye harakati zake za kutafuta taji la kihistoria …
Emma Raducanu, bingwa wa zamani wa US Open na mchezaji nambari moja wa Uingereza, ataanza kampeni yake ya Wimbledon kwa mtanange wa kuvutia dhidi ya Mimi Xu, ambaye amepewa tiketi …
Novak Djokovic alishinda tena nyasi za Uingereza alipomshinda Frances Tiafoe kwenye mchezo wa Tennis Classic wa Giorgio Armani huko Hurlingham. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 atajaribu kufikia …
Mcheza tennis kutoka nchini Serbia Novak Djokovic ameshinda taji lake la saba la mashindandano ya Wimbledon ambayo yanafanyika nchini Uingereza kwa kumchapa mcheza tennis kutoka nchini Australia Nick Kyrgios. Djokovic …
Fundi wa Tenisi, Novak Djokovic atavaana na mchezaji namba moja wa Uingereza, Cameron Norrie katika nusu fainali ya michuano ya tenisi ya Wimbledon. Mchezaji wa Australia, Nick Kyrgios amepata …
Mcheza tennis anayeshika namba moja kwa ubora duniani Naomi Osaka hataweza kushiriki mashindano ya Wimbledon kutokana na majeraha aliyoyapata akiwa anashiriki michuano ya Madrid Open na sababu ya kutopanda kwa …
Mcheza Tenisi wa Belarus, Victoria Azarenka amesema kuwa marufuku ya Wimbledon kwa wachezaji kutoka Urusi na nchi yake haina mantiki na mchezaji huyo ametoa wito kwa bodi zinazosimamia tenisi …
Kamati ya mashindano ya Wimbledon wametoa ruhusa kwa wachezaji wasiochanja chanjo ya Covid-19 kucheza katika mashindano ya mwaka huu. Habari hiyo njema kwa mchezaji namba moja kwa ubora duniani, …
Waandaji wa mashindano ya Wimbledon wamethibitisha kwamba chanjo ya Covid-19 haitakuwa sheria kwa wachezaji kushiriki michuano kwa mwaka huu kwa maana hiyo Novak Djokovic ataruhusiwa kutetea taji lake. Mchezaji namba …
Mcheza Tenisi namba nane kwa ubora duniani wa Urusi, Andrey Rublev amesema uamuzi wa kufungia wachezaji wa Urusi na Belarus kushiriki mashindano ya Wimbledon mwaka huu ni ubaguzi wa …
Wachezaji kutoka mataifa ya Urusi na Belarus hawataruhusiwa kushiriki na kucheza kwenye mashindano ya Wimbledon mwaka huu kutokana na uvamizi waliofanya kwenye nchi ya Ukraine. Miongoni mwa wachezaji maarufu ambao …
Staa wa Tenisi wa Marekani, Serena Williams anatarajiwa kurejea dimbani katika mashindano ya Wimbledon 2022 baada ya kukaa nje kwa mwaka mzima akiuguza majeraha la kifundo cha mguu. S.Williams …
Watendaji wa michuano ya Wimbledon wako katika mkutano na serikali ya Uingereza kujadili kuhusu wachezaji wa Urusi kushiriki katika michuano ya mwaka huu. Taarifa zinasema mchezaji namba mbili …
Mcheza Tenisi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic anasema hayupo kinyume na chanjo lakini hataweza kutetea taji lake la Wimbledon au French Open ikiwa atalazimishwa kuchanjwa chanjo ya …
Novak Djokovic amedhihirisha sifa yake ya kuwa mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (wanaume) baada ya kutetea ubingwa wake wa Wimbledon 2021. Djokovic aliingia kwenye mashindano ya mwaka huu kama …
Baada ya kukuru kakara za hapa na pale, fainali ya Wimbledon 2021 hii hapa. Ni Novak Djokovic vs Matteo Berrettini. Djokovic anafuzu hatua ya fainali baada ya kumburuza Denis Shapovalov …
Muendelezo wa mashindano ya Wimbledon 2021 unaendelea kutoa matokeo ya kila namna ikiwa ni hatua ya robo fainali kwa wanaume. Roger Federer apoteza mchezo mwanzo mwisho. Federer alikuwa uwanjani akichuana …
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yake ya kucheza tenesi, Ashleigh Barty anatinga nusu fainali ya Wimbledon 2021. Barty ambaye pia ni mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (wanawake), amefuzu …
Mwanadada, Iga Swiatek amefanikiwa kufuzu mzunguko wa 4 kunako mashindano ya Wimbledon 2021. Swiatek amefanikiwa kutinga kwenye hatua hiyo baada ya kumshinda Irina-Camelia Begu kwa matokeo ya seti 6-1 6-0. …