Wolves Kukiwasha Dhidi ya Burnley
Mechi nyingine ya Ligi kuu ya Uingereza EPL, ambayo inatarajiwa kupigwa hii leo ni ile ambayo inawakutanisha Wolves dhidi ya Burnley majira ya saa 4:30 usiku katika dimba la Molineux. …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Mechi nyingine ya Ligi kuu ya Uingereza EPL, ambayo inatarajiwa kupigwa hii leo ni ile ambayo inawakutanisha Wolves dhidi ya Burnley majira ya saa 4:30 usiku katika dimba la Molineux. …
Aaron Ramsdale hivi karibuni anaweza kucheza soka la kawaida tena huku Wolves wakitafakari ofa. Kipa huyo mwenye umri wa miaka 25 alicheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu …
Winga wa klabu ya Wolverhampton na timu ya taifa ya Ureno Pedro Neto ameweka wazi kua bado yupo sana ndani ya klabu hiyo licha ya kuhusishwa kutimka klabuni hapo. Pedro …
Kipa wa Manchester United Andre Onana anaamini mwamuzi Simon Hooper na VAR walikuwa sahihi kutowapa Wolves penalti ya dakika ya mwisho katika pambano la Ligi Kuu ya Uingereza jana usiku …
Bosi Julen Lopetegui amefichua kusikitishwa kwake na masaibu ya uhamisho ya Wolves na kukiri kuwa klabu hiyo inatatizika kusajili wachezaji. Kocha mkuu anahisi matatizo yanamletea habari mbaya anapojaribu kujijenga …
Klabu ya Wolves inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imefanikiwa kumrudisha beki wake wa kulia ambaye alikua klabu ya Tottenham Hotspurs na baadae kutimkia Atletico Madrid Matt Doherty. Matt Doherty alijiunga …
Juventus bado wanajaribu kutafuta klabu mpya kwa ajili ya Arthur Melo na huenda akaibukia klabu ya Ligi kuu ya Uingereza Wolves. Kiungo huyo alikaa kwa mkopo Liverpool msimu uliopita, …
Corriere dello Sport kuwa Napoli inawafuatilia mabeki kadhaa kuchukua nafasi ya Kim Min-jae, akiwemo Ibrahima Konaté, Max Kilman na Robin Koch. Kim amejiunga na Bayern Munich, ambaye atalipa kifungu …
Joao Moutinho na Diego Costa wanatarajiwa kuondoka Wolves wakati kandarasi zao za sasa zikiisha huku Adama Traore akiwa bado kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba. Mkurugenzi wa michezo wa klabu …
Ruben Neves anakiri kuwa anataka kucheza Ligi ya Mabingwa na anakabiliwa na uamuzi mgumu kuhusu mustakabali wake wa Wolves. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 anatarajiwa kuondoka Molineux …
Julen Lopetegui ameiambia Wolves wanahitaji kuwa karibu sana na ukamilifu ikiwa wanataka kuizuia Aston Villa na kuwarudisha kwenye pambano la kushushwa daraja la Ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya …
Liverpool walikuwa na mechi nzuri ya raundi ya nne dhidi ya Wolves kwa kushinda mechi hiyo ya marudianokwa bao 1-0 bao la Liverpool lilifungwa na Elliott dakika ya 13 kipindi …
Mchezaji wa klabu ya PSG mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa Pablo Sarabia raia wa kimataifa wa Hispania Pablo Sarabia anakaribia kutua kwenye klabu ya Wolverhampton. Kiungo Pablo Sarabia yuko …
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Matheus Cunha ambaye yupo kwa mkopo klabu ya Wolverhampton kwa mkopo inatajwa atasalia klabuni hapo jumla baada ya kumalizika kwa mkopo wake. Klabu ya Wolverhampton imeamua …
Liverpool wanaripotiwa kutaka kuimarisha safu yao ya kiungo kwa kumsajili mshambuliaji wa Wolves Matheus Nunes. Liverpool walianza vibaya msimu wa 2023 baada ya kufungwa 3-1 ugenini Brentford jana usiku …
Mshambuliaji wa Atletico Madrid na Brazil Matheus Cunha anaripotiwa kuondoka Uhispania na kujiunga na Wolves inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Cunha mwenye miaka 23, aliwekwa kwenye orodha ya wachezaji …
Klabu ya Wolves wametangaza kuwa Julen Lopetegui atakuwa kocha wao mpya baada ya kutimuliwa kwa Bruno Lage mwezi uliopita kutokana na kuwa na matokeo ambayo hayaridhishi. Lopetegui mwenye umri …
Kocha wa klabu ya Queens Park Rangers Michael Beale amekubali kuinoa klabu ya Wolverhampton Wanderers baada ya kufikiana makubalino ya pande zote. Wolverhampton Wanderers baada ya kuachana na kocha wake …
Kazi ya Bruno Lage inasemekana kuwa hatarini baada ya Wolves kupoteza mchezo wao wa nne msimu huu wakiwa West Ham Jumamosi jioni. Baada ya dau kubwa la kiangazi ambalo …
Klabu ya Wolveshampton Wonderers inatarajia kumsajili Diego Costa ambaye ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na Atletico anayecheza kama mshambuliaji. Mchezaji huyo anatarajiwa kuwa Uingereza wiki hii kwaajili ya kukamilisha …