Yanga - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

YANGA YAREJEA KILELENI NBC

SOKA LA BONGO

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC klabu ya Yanga wamerejea kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata matokeo ya ushindi dhidi klabu ya Namungo mchezo ulipigwa mkoani Lindi. …

RAGE: YANGA WANAPIGA SANA BOLI

SOKA LA BONGO

Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa watani zao, Klabu ya Yanga wanapaswa kupongezwa kutokana na soka safi wanalocheza hivi sasa na kupata matokeo mazuri …

YANGA IMEWAACHA MBALI

SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imeendelea kusaini Mikataba minono ya udhamini, Baada ya hii leo kusaini kandarasi na kampuni ya kuuza na kusambaza Pikipiki za Hero. Mkataba huo utakaodumu kwa kipindi cha …

Mchezaji Yanga Afufukia Polisi

Daily News

NYOTA wa Yanga, Joseph Guede, baada ya masimango mengi kutoka Kwa mashabiki kuwa hafungi, hatimaye amejibu maswali hayo mbele ya Polisi Tanzania jana usiku dhidi ya Polisi Tanzania ya Championship. …

YAO KOUASSI AJIPATA YANGA

SOKA LA BONGO

Yanga SC iko zake kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kukusanya alama 40 katika mechi 15 ilizocheza ikiwa katika harakati za kutetea taji la Ligi Kuu Bara, huku beki …

Mudathir Yahya Anatoa Majibu Magumu Yanga

KWENYE mechi ngumu ambazo wapinzani wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujilinda zaidi, kiungo Mudathir Yahya alikuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja …

1 2 3 4 84 85 86