Young Africans - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

YANGA IMEWAACHA MBALI

SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imeendelea kusaini Mikataba minono ya udhamini, Baada ya hii leo kusaini kandarasi na kampuni ya kuuza na kusambaza Pikipiki za Hero. Mkataba huo utakaodumu kwa kipindi cha …

NTIBAZONKIZA BADO HAKIJAELEWEKA SIMBA

SOKA LA BONGO

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saidoo Ntibanzokiza ‘Saido’ amegomea mkataba wa mwaka mmoja alioandakiwa na Uongozi wa Klabu ya Simba huku akiutaka Uongozi wa Simba SC kumpa mkataba wa miaka …

YANGA MORALI IPO JUU KUWAVAA AHLY

SOKA LA BONGO

Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Yanga imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, kwa kuwaongezea Bonasi Wachezaji katika mchezo wao …

Aziz Ki Bado Yupo Jangwani

SOKA LA BONGO

TAARIFA kutoka ndani ya Yanga zinasema kuwa kiungo wa klabu hiyo raia wa Burkinafaso Stephen Azizi KI ataendelea kubaki ndani ya klabu hiyo. Makubaliano baina ya Uongozi wa Young Africans …

YANGA WANAITAKA MIDO YA CAF

SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imeripotiwa kuwa ukingoni kukamilisha dili la kumsajili kiungo mkata umeme kutoka Ivory Coast, Djire Abdoulaye kutoka klabu ya Racing Club Abidjan.   Yanga inahitaji kiungo mwingine mkabaji …

FISTON MAYELE ANAWEKA TU HUKO

SOKA LA BONGO

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Young Africans Fiston Kalala Mayele jana alifunga katika mchezo wake wa tano (5) wa ligi kuu nchini Misri akiwa na kikosi cha Pyramids. Pyramids …

BANGALA KUWAKOSA YANGA

SOKA LA BONGO

Kiungo Mkabaji wa kutoka DR Congo Yannick Bangala ameondolewa katika mipango ya Azm FC kuelekea mchezo wa Mzunguuko wasita wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Young Afrcans. Miamba hiyo …

1 2 3 4 7 8 9