Misri Yatolewa AFCON kwa Mikwaju ya Penati
Misri walipata maumivu zaidi ya mikwaju ya Kombe la Mataifa ya Afrika huku kipa Lionel Mpasi akifunga penalti ya ushindi na kuipeleka DR Congo katika robo fainali. Michezo yote …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Misri walipata maumivu zaidi ya mikwaju ya Kombe la Mataifa ya Afrika huku kipa Lionel Mpasi akifunga penalti ya ushindi na kuipeleka DR Congo katika robo fainali. Michezo yote …
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefuzu kwa hatua ya mtoano ya Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) baada ya kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Tanzania hapo jana mjini Korhogo. Kipindi …
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon Msuva amesema kuwa bado wana nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwenye Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) nchini Ivory Coast …
Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars Jana iliiuwa kazini kuapambania nembo ya taifa na kupata ushindi katika viunga vya Azam Complex kwenye mechi ya kwanza ya raundi ya pili …
Tanzania, Kenya, na Uganda zimefanikiwa kushinda tena ya kuandaa michuano mikubwa inayohusisha mataifa nchini Afrika kupitia mpira wa miguu AFCON itakayofanyika mwaka 2027. Tanzania na majirani zake kwa maana ya …
Mechi za kuwania kufuzu Afcon mwakani zinaendelea leo hii ambapo timu ya Tanzania (Taifa Stars) itakuwa ugenini kucheza dhidi ya Algeria ambayo yenyewe tayari imeshafuzu michuano hiyo. Tanzania ipo …
Timu ya taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars imefufua upya matumaini ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2024 baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa bao bao moja …
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars leo itashuka dimbani kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika Affon mwakani nchini Ivory Coast dhidi ya timu ya taifa ya …
Kocha wa timu ya taifa Tanzania Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakao ambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, …
TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 ‘Ngorongoro Heroes’ imefanikiwa kuiondoa Sudan Kusini kwenye michuano ya kufuzu AFCON baada ya kutoka sare ya mabao 3-3. Mchezo huo wa …
Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya Umri wa miaka 23, imeshindwa kuonesha makali yake dhidi ya Sudan Kusini jana kwenye uwanja wa Azam Complex- Chamazi, baada ya kulazimishwa sare …
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Niger katika Mechi ya Kufuzu AFCON 2023 kwenye Uwanja wa de L’amitié Jijini Cotonou, Nchini Benin. …
Timu ya Taifa ya Senegal imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2021) baada ya kuifunga Egypt 4-2 kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 120. …
AFCON, Michuano ya mataifa huru ya Afrika yalianzishwa mwaka 1957 huku ikishirikisha timu nne ila ni timu tatu ndizo zilizoweza shiriki nazo ni Misri, Sudan na Ethiopia wakati Afrika kusini …
Fainali ya AFCON 2021 inapigwa leo katika dimba la Olembe unaopatikana kwenye mji kuu wa Cameroon, Yaounde. Nyota wawili wa Anfield ya England watakutana kuoneshana ubabe katika mchezo unaotarajiwa …
Kocha msaidizi wa Misri Diaa al-Sayed ametoa wito kwa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika siku ya Jumapili dhidi ya Senegal kucheleweshwa kwa siku moja ili kuipa timu yake …
Timu ya Taifa, Senegal imefuzu katika fainali yao ya tatu ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2021 huku Sadio Mane akifunga na kuwasaidia kuwalaza 3-1 Burkina Faso. …
Wachezaji Mohammed Salah na Sadio Mane wameongoza timu zao za taifa Egypt na Senegal kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFCON 2021 inayofanyika Cameroon. Mohamed Salah alifunga bao …
Kocha wa timu ya taifa ya Malawi Mario Marinica amewakosoa waandaji wa michuano hiyo kutokana na huduma mbovu walizokuwa wanapatiwa timu ndogo kulinganisha na timu kubwa kwenye mashindano hayo. Wachezaji …
AFCON, raisi wa Caf Patrice Motsepe ametaka uchunguzi wa haraka ufanyike kutokana na janga ambalo lilisababisha vifo vya watu nane na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa, kwenye mchezo wa 16 …