Aguero Atoa Onyo Kali kwa Man City Juu ya Haaland
Sergio Aguero amesema kuwa Erling Haaland anahitaji uungwaji mkono kutoka kwa wachezaji wenzake wa Manchester City ili kutwaa ubingwa wa primia huku akiamini kuwa ni Lionel Messi pekee ndiye anayeweza …