arsenal - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Arsenal Yahusishwa na Diamonde

Daily News

Klabu ya Arsenal inahusishwa na mlinzi wa eneo la kati anayekipiga katika klabu ya Sporting Lisbon ya nchini Ureno raia wa kimataifa wa Ivory Coas Ousmane Diamonde. Arsenal inahusishwa na …

Tomiyasu Aongeza Mkataba Arsenal

Daily News

Beki wa klabu ya Arsenal raia wa kimataifa wa Japan Takehiro Tomiyasu amefanikiwa kuongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia washika mitutu hao kutoka jiji la London. Beki Tomiyasu ameongeza mkataba ambao …

Ben White Aongeza Kandarasi Arsenal

News

Beki wa kulia wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza Ben White amefanikiwa kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa miaka mingine minne. Ben White moja …

Arsenal nao Kuwania Mbappe

Daily News

Klabu ya Arsenal nayo itaingia kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Kylian Mbappe ambaye ametangaza kuondoka ndani ya klabu yake ya PSG mwisho wa msimu. Wakati kocha …

Arsenal Kumnunua Raya Jumla

Daily News

Klabu ya Arsenal imekubali kumnunua kwa uhamisho wa kudumu golikipa David Raya ambaye yupo kwa mkopo klabuni hapo akitokea klabu ya Brentford inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Brentford …

Havertz: Nafurahia Kuwepo Arsenal

Daily News

Staa wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani Kai Havertz amefunguka kua anafurahia kuwepo ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake kaskazini mwa jiji la London. Kai …

Arsenal Kumuwinda Vlahovic

Daily News

Klabu ya Arsenal itaingia sokoni kwenye dirisha dogo la mwezi Januari kutafuta mshambuliaji na mipango yao ipo kwa mshambuliaji wa klabu ya Juventus Dusan Vlahovic. Arsenal wamekua wakimvia mshambuliaji Dusan …

Arsenal Kurudi kwa Douglas Luiz

Daily News

Klabu ya Arsenal ina mpango wa kurudi kwa kiungo wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Aston Villa kwenye dirisha dogo la usajili mwezi Januari. Arsenal wanaelezwa wanataka kutuma …

1 2 3 4 128 129 130