Osaka Ajiondoa Kwenye Australian Open
Bingwa mara nne Naomi Osaka amejiondoa kwenye mashindano ya Australian Open 2023. Mjapani huyo mwenye umri wa miaka 25 ni mshindi mara mbili wa Australian Open (2019 na 2021), …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Bingwa mara nne Naomi Osaka amejiondoa kwenye mashindano ya Australian Open 2023. Mjapani huyo mwenye umri wa miaka 25 ni mshindi mara mbili wa Australian Open (2019 na 2021), …
Ushindi wa kushangaza wa Rafa Nadal wa fainali ya Australian Open 2022 dhidi ya Daniil Medvedev siku ya Jumapili ulimfanya kitakwimu kuwa mchezaji bora wa tenisi kwa wanaume wa wakati …
Rafael Nadal anasimama mbele ya malejendari wa mchezo wa tennis baada ya kumshinda Daniil Medvedev kwenye fainali ya Australian Open na kuweka rekodi ya kushinda Grand Slam yake ya 21. …
Mcheza Tennis, Rafael Nadal alimshinda Matteo Berrettini na kufika fainali yake ya sita ya Australian Open mjini Melbourne na sasa atamenyana na Daniil Medvedev siku ya Jumapili. Mchezaji huyo …
Yametimia, baada ya miaka 44, Ashleigh Barty anakuwa raia wa kwanza wa Australia kutwaa ubingwa wa Australian Open. Barty ameibuka kidedea baada ya kumfunga Danielle Collins kwa matokeo ya seti …
Mcheza Tennis namba 5 kw aubora duniani, Rafael Nadal ameshinda mtihani mkali kutoka kwa Matteo Berrettini na kufika fainali yake ya sita ya Australian Open mjini Melbourne, Australia. Nadal, …
Rafael Nadal kwa anafikilia zaidi kushinda taji la Australian Open ili aweze kuwa mchezaji namba moja mwenye Grand slam 21 na kuwapita Novak Djokovic na Roger Federer kwenye listi ya …
Mcheza Tennis namba 23 kwa ubora, Danielle Collins atachuana na mshindi wa zamani wa French Open Iga Swiatek anayeshika nafasi ya saba katika nusu fainali ya michuano ya wazi ya …
Burudani ya mchezo wa tenesi inaendelea viwanjani. Stefano Tsitsipas ametinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi mnono. Tsitsipas alikuwa uwanjani akichuana na Jannik Sinner katika mchezo wa robo fainali. Stefano …
Mashindano ya Australian Open 2022 yanaendelea kunoga, hatua ya nusu fainali hiyo kurindima. Rafael Nadal, ndani ya nyumba. Licha ya kuhitajika kuvishinda vikwazo vingi uwanjani, Nadal amefanikiwa kutinga hatua ya …
Mchezaji namba 2 kwa ubora duniani (wanaume), Daniil Medvedev, amefuzu hatua ya 16 bora kunako mashindano ya Australian Open. Medvedev alikua uwanjani akichuana na Botic van de Zandschulp katika uwanja …
Bingwa mtetezi wa Australian Open (wanawake), Naomi Osaka, amevuliwa rasmi ubingwa baada ya kupoteza mchezo wa hatua ya tatu ya mashindano ya mwaka huu. Osaka alikuwa uwanjani kuchuana na chipukizi, …
Amahakika, ng’ombe wa masikini hazai. Licha ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na majeruhi, kurejea kwa Andy Murray kumeishia mzunguko wa pili kule Melbourne. Murray amerejea kwenye mashindano …
Mchezo wa mzunguko wa pili (kwa wanawake) umemalizika kunako Australian Open. Naomi Osaka vs Madison Brengle ni burudani! Osaka ameonesha ukomavu na ustahimilivu uliojaa uwezo mkubwa wa kupiga mipira yenye …
Jiji la Melbourne, Australia, linaendelea kuburudika na mashindano ya Australian Open yanayoendelea nchini humo. Baadhi ya mastaa wanaendelea kufanya vizuri viwanjani. Daniil Medvedev amefanikiwa kutinga hatua ya pili ya michuano …
Wakati headlines za Djokovic vs Serikali ya Australia zikiwa zimetamatika, mashindano ya Australian Open 2022 yameanza rasmi leo. Naomi Osaka ameanza kwa kishindo. Bingwa mtetezi wa Australian Open (wanawake), Naomi …
Mchezaji namba moja wa tennis duniani Novak Djokovic matumaini ya kushiriki Australian Open yamezima kama kama kukatika kwa umeme baada ya mahakama kutupilia mbaki rufaa yake dhidi ya kibali cha …
Mcheza Tennis namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic amesalia kwenye droo ya michuano ya wazi ya Australian Open huku kukiwa hakuna taarifa kamili kama atacheza michuano hiyo. …
Nyota wa tenisi Novak Djokovic alikuwa na msamaha wa chanjo ya kuingia Australia baada ya kuambukizwa Covid mnamo 16 Desemba, mawakili wake walisema katika hati za mahakama. Djokovic …
Wakati muda ukiyoyoma kuelekea mashindano ya Australian Open, Januari 10,2022. Ushiriki wa bingwa mtetezi, Novak Djokovic, ni gumzo duniani. Djokovic anaingia kwenye headlines za michezo na siasa duniani kwa kitendo …