barcelona - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Barcelona Yadondosha Alama Tena

La Liga

Klabu ya Fc Barcelona leo imedondosha alama tatu tena leo wakiwa nyumbani katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania dhidi ya klabu ya Las Palmas kwa mabao mawili kwa moja. …

Barcelona Wanaendelea Walipoishia

La Liga

Klabu ya Barcelona inaendelea ilipoishia kwani leo tena imefanikiwa kushinda mchezo wake wa nne mfululizo kwenye ligi kuu ya Hispania msimu huu baada ya kuichabanga Girona mabao manne kwa moja. …

Barcelona Wanataka Kumuuza De Jong

La Liga

Klabu ya Barcelona inaelezwa ipo tayari kumuuza kiungo wake raia wa kimataifa wa Uholanzi Frenkie De Jong katika dirisha hili kubwa la majira ya kiangazi. Barcelona wako tayari kumuachia De …

Barcelona Yahamia kwa Olmo

La Liga

Klabu ya Barcelona sasa imehamia kwa kiungo wa kimataifa wa Hispania ambaye anakipiga klabu ya Rb Leipzig kutoka nchini Ujerumani anayejulikana kama Dani Olmo. Barcelona kwasasa wamefikia katika hatua nzuri …

Barcelona Macho yote kwa Nico Williams

La Liga

Klabu ya Barcelona macho yao yote yapo kwa winga wa Athletic Club raia wa kimataifa wa Hispania Nico Williams kuelekea msimu ujao wa mwaka 2024/25. Barcelona inaelezwa usajili ambao wanautolea …

Xavi Yupo Sana Barcelona

La Liga

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez kwenye hali ya kushangaza amewashtua mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutangazwa kua ataendelea kusalia ndani ya viunga vya klabu hiyo vya Camp …

Xavi Amekubali Kusalia Barcelona

La Liga

Kwa mujibu wa gazeti la Mundo Deportivo, Xavi alibadili uamuzi wake na atasalia Barcelona msimu ujao, hivyo basi kuwaletea madhara Milan na Roberto De Zerbi. Kocha huyo alikuwa ametangaza mapema …

Joao Felix Amtamani Bernardo Barcelona

La Liga

Mchezaji wa klabu ya Atletico Madrid Joao Felix anayekipiga kwa mkopo klabu ya Barcelona ameonesha kutamani mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Ureno Bernardo Silva kujiunga na Barcelona. Akifanya mazungumzo na …

Barcelona Kuipindua Liverpool kwa Amorim

La Liga

Klabu ya Fc Barcelona inaelezwa inakaribia kuipindua klabu ya Liverpool katika kumuwania kocha wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Ruben Amorim ambaye anawaniwa na klabu ya Liverpool. Barcelona mwishoni …

Barcelona Kumuongezea Mkataba Araujo

La Liga

Klabu ya Barcelona wako kwenye mchakato wa kumuongezea mkataba beki wake raia wa kimataifa wa Uruguay Ronald Araujo akiwa amepewa kipaumbele kikubwa zaidi. Beki Ronald Araujo amekua moja ya wachezaji …

Barcelona Hawatasajili Mbadala wa Gavi

La Liga

Klabu ya Barcelona imeweka wazi haitaingia sokoni katika diriaha dogo la mwezi Januari kwajili ya kuzipa pengo la kiungo wake Gavi ambaye amepata majeraha ya muda mrefu. Rais wa klabu …

1 2 3 4 159 160 161