berkane - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Berkane Mabingwa SuperCup 2022

News

Klabu ya RS Berkane ya nchini Morroco inayoshiriki ligi maarufu ijulikanayo kama Botola  imebeba kombe lao la kwanza la CAF Super Cup hapo jana baada ya kuitungua Wydad Casablanca kwa …

MAKUNDI YA SHIRIKISHO HAYA HAPA

Daily News

Haya hapa makundi manne kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) baada ya droo iliyofanyika jijini Johannesburg Afrika Kusini. Kundi A: USMA 🇩🇿 Future 🇪🇬 Supersport🇿🇦 Al Hilal 🇱🇾 …

Simba Yamfukuzia Adebayor

SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba inamfukuzia kwa karibu mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor ambaye anakipiga klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. Simba wameonesha nia ya kumuhitaji mchezaji huyo kabla …

Fei Toto awindwa na Waarabu

SOKA LA BONGO

MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa saini yake ikiwa ni baada ya kukoshwa na uwezo wake …

Kisinda na Onyango Kujadiliwa na TFF

News

Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji inatarajiwa kukutana Ijumaa hii ili kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na suala la Tuisila Kisinda winga ambaye amesajiliwa Yanga. Ikumbukwe kwamba Kisinda …

1 2 3