biashara united - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Viongozi Biashara United Wajiuzulu

News

Viongozi wa timu ya Biashara United ya Mara wamejiuzulu baada ya timu hiyo kushuka daraja katika mkutano wa dharura uliofanyika juzi jumatatu. Timu ya Biashara United imeshuka daraja moja kwa …

Beki Biashara United Aigomea Simba 

Daily News

BAADA ya kuhusishwa na uhamisho wa Simba, beki wa Biashara United ya Mara, Abdulmajid Mangalo amefunguka kukataa ofa hiyo huku akitarajia kujiunga na klabu nyingine. Licha ya Biashara United kushuka …

Okumu Aaanza Rasmi Biashara United

Daily News

Patrick Odhiambo Okumu, raia wa Kenya ambaye amepewa mikoba ya Francis Baraza kuinoa Klabu ya Biashara United amesema kuwa yupo tayari kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake Mara. Baada ya …

Manchester United Wamgeukia Osimhen

Daily News

Klabu ya Manchester United sasa imemgeukia mshambuliaji wa mabingwa wa Italia raia wa kimataifa wa Nigeria Victor Osimhen baada ya kuona ugumu kwenye dili la Harry Kane. Manchester United walikua …

1 2 3 4 11 12 13